Kuanzia leo hii sitaki ubishano wa Ronaldo na Messi nani mkali

Ilifurahisha Sana siku ile fifa walipokua wanatoa Kiatu cha Dhahabu...Pale ukumbini Mtoto wa Ronaldo kumbe ni shabiki mkubwa wa Messi...na hili alilithibitisha baba yake pale alipomwbia messi kuhusu hilo na akamwambia nenda kamsalimie dogo akaenda na kukumbatiwa na messi!
 
Messi alikuwa majeruhi? Hahaha haya mahaba sasa ni noma. Haya bana, kila la kheri wazee

-Ngoja nikukumbushe kidogo kijana.
-Msimu uliopita Messi alikuwa maheruhi na akakaa nje miezi mitatu, siku aliporudi aliingia dakika za nwishoni na akaweka kimyani bao 2.
-Barcelona misimu mitatu iiiyopita ilikuwa weak sana ktk defense na ndio maana ikawa inapoteza mechi za muhimu pale endapo beki mmoja akiwa majeruhi, alipigwa goli 4 na Bayern huku beki akiwa Bartra ambaye hana Experiance. Msimu uliopita tukacheza na Atletico UEFA wakatutoa huku tukiwa na mabeki ambao ni majeruhi, kama uliangalia ile mechi basi uliona ni namna Barca alivyosumbuliwa, angepigwa hata 6.
-Kama sio German, Argentina angeweza kumpiga mtu yoyote yule ktk fainali la kombe la dunia mwaka jana, na wachambuzi wengi walitegemea Geraman atabeba kombe. Hata Gaucho alibeba kombe huku akizungukwa na wakongwe akina De Lima Ronaldo, Rivaldo, Cafu, Roberto Carlos na wengi sana. Messi angekuwa anazungukwa na wakali ktk timu ya taifa angebeba kombe.
 

Miezi mitatu? unazan si wengine hatuna tv?
 
Hahaha dah! We ni noma eroo, hii ligi ambayo upo siiwezi.
 
TUPACified

hahaha uyo uyo messi kabla ya msimu huu alishindwa kufunga dhidi ya atletico madrid game sita mfululizo CR7 hajafunga jana wameanza kuongea
 
Last edited by a moderator:
Ronaldo kashaifunga barca mara 15 na atletico mara 15..kuna game gani kubwa kama Clasico kwasasa duniani mpaka useme hana impact mechi kubwa??
 
hahaha uyo uyo messi kabla ya msimu huu alishindwa kufunga dhidi ya atletico madrid game sita mfululizo CR7 hajafunga jana wameanza kuongea
Haha hawa jamaa waache tu, huwezi ku-reason nao chochote kisichomtukuza Messi.
 
Ronaldo haingii kwa messi hata robo kwanza ni selfish sana jamaa.
 
Huu mpira uishe tu, PSG bila Verratti hakuna kitu. Porto nao wanazingua japo wanaongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…