-Ngoja nikukumbushe kidogo kijana.
-Msimu uliopita Messi alikuwa maheruhi na akakaa nje miezi mitatu, siku aliporudi aliingia dakika za nwishoni na akaweka kimyani bao 2.
-Barcelona misimu mitatu iiiyopita ilikuwa weak sana ktk defense na ndio maana ikawa inapoteza mechi za muhimu pale endapo beki mmoja akiwa majeruhi, alipigwa goli 4 na Bayern huku beki akiwa Bartra ambaye hana Experiance. Msimu uliopita tukacheza na Atletico UEFA wakatutoa huku tukiwa na mabeki ambao ni majeruhi, kama uliangalia ile mechi basi uliona ni namna Barca alivyosumbuliwa, angepigwa hata 6.
-Kama sio German, Argentina angeweza kumpiga mtu yoyote yule ktk fainali la kombe la dunia mwaka jana, na wachambuzi wengi walitegemea Geraman atabeba kombe. Hata Gaucho alibeba kombe huku akizungukwa na wakongwe akina De Lima Ronaldo, Rivaldo, Cafu, Roberto Carlos na wengi sana. Messi angekuwa anazungukwa na wakali ktk timu ya taifa angebeba kombe.