Kuanzia leo hii sitaki ubishano wa Ronaldo na Messi nani mkali

Kuanzia leo hii sitaki ubishano wa Ronaldo na Messi nani mkali

Hahahah kitendo cha kumpinga messi ni ishara ya kumkubali kupita kias
 
When you're defending a set-piece but there's an annoucement of free
pizza. :lol: :lol: :lol:

11165009_986460568045370_2908447120427578458_n.jpg
 
Hivi huyu ronaldo ana impact gani na mechi kubwa ?
Hivi mechi gani kubwa Ronaldo kawa man of the match ??
Kila nikiangalia ronaldo mechi kubwa ni mavi tu

Ile mechi na dortimund aliishia kufichwa na schmeizer mechi nzima mwisho wa mechi wanakula goli nne

Ukija na bayern munich aibu niliona mimi jinsi anavyofichwa na Philipe lahm alimuiba kabisa

hawa liverpool ndio walimficha ronaldo mbaya zaidi alifichwa na kolo toure huyu aliyeisha mwishoni akapewa goli la penati tena hakusababisha yeye

Mechi ya mwisho walipokutana na barcelona mwisho wa mechi Ronaldo alionekana akimwambia benzema "we were all shit"
alitaka nani akusaidie

wote mashahidi kombe la dunia jamaa alichofanya alibahatika goli moja akatoka makundi hakuwa na positive impact hata kwa ghana

Ronaldo hatembei na mpira siku hizi labda uzee umemfika akinyimwa pasi anatukana analalama mpaka vyombo vya habari vinajua hilo

He is overrated player

Unajua jana alikuwaje pale Vicente Cardelon aibu niliona mimi
Katika mechi saba alizokutana na Ateltico ameshinda goli moja msimu huu sitaki kuzungumzia fainali ya Uefa msimu uliopita alisubiri penati ndio avue nguo zake uwanjani baada ya kukutana na wanaume

kama kweli unaona mavi itabidi utangulie mirembe
 
poa tutoe magoli matano ya messi wangeishia wapi na asingetoa assist kwa di maria

Haha ni nani aliekwambia messi amefunga magoli matano world cup???ebu kapitie tena vizuri takwimu zako kisha urudi nikujibu
 
To me ronaldo is not the best football player, ila mtu akisema ronaldo ni mchezaj bora kwake siwez kushangaa wala kubisha sababu ana sifa na vigezo hvyo.. Napenda kuheshim maamuz ya mtu, kila mtu na maoni yake.
 
Pumba. Kwako mchezaji bora ni anayeperform big games tu kama ni hivyo basi aguero mkali kuliko messi na Cr7.

Ndani ya miaka6 ana hat tricks sawa na messi wa misimu 11. Kafunga kila mji pale Spain. Kafunga magoli ya kumwaga hadi sasa na ndio best player kama hutaki sijui akusaidiaje

Halafu tafuta maana ya free role kwenye mpira ili ujue aina ya uchezaji wa Cr7 wa Madrid ulivyotofauti na wa wakati ule akiwa MU.
 
Hahahah kitendo cha kumpinga messi ni ishara ya kumkubali kupita kias

Nyie mlioanza kushabikia mpira late 2000s mna matatizo kweli. Kwa kipi hasa messi akubaliwe kuzidi Legends.?

Ila siyo kosa lenu, mmeanza kushabikia mpira kipindi ambacho wachezaji wanaojua mpira wamekwisha duniani.
 
Hv nani kati ya hawa wawili amewai vunja rekodi ya magwiji wa mpira wa miguu duniani kama vile "Maradona,pele & dirimma"tukieleweshana hapa ndo tutajua nani mkali maana unapo vunja rekod ya alietangulia ndipo historia ya mpira inakutambua tafadhari mwenye kujua nani kavunja rekodi za hao watu kati ya Mess na christiano
 
Aisee MO11 huyu jamaa Ronaldo kakufanya nini? Mbona unamchukia sana? Naona bifu lako na yeye ni "personal" sana kumzidi hata Messi ambaye wakionana watasalimiana na kupiga stori. Huoni chochote cha maana kwake hata kimoja? Yaani hata wale makocha, waandishi wa habari na viranja wa timu za taifa waliompa uchezaji bora wa dunia mara mbili mfululizo wooote wamekosea? Punguza chuki kidogo aisee, sio vizuri kwa afya yako.
 
Last edited by a moderator:
Kuna kitu hamjaki note,messi amegeuka mchezeshaj sana kwa sabab amepelekwa pemben alikokuw anacheza awal,hivyo hajaacha uchoyo ila nafac ndo inamkaba. Guardiola alikuw anampang ktkt ndo mana haikuw rahis kuchezesha wengn zaid y kufunga. Ukicheza sana pmbn utaishia kuwachezesha wengn zaid.

-Nadhani watu ambao wanaoingalia Barcelona kipindi cha Guardiola watakuja wakusaidie zaidi, mimi ngoja nikusaidie kidogo.
-Alipokuwa anacheza katikati ndo alikuwa anachezesha sana timu maeneo ya katikati. Kwanini? Kwasababu Ilikuwa ni rahisi kwake kutoka sehemu alipo na kushuka kidogo.
-Na Messi asili yake ni kiungo na sio mshambuliaji, Barca mda nwingi ilikuwa inatafuta mtu wa kumsaidia Messi endapo awapo uwanjani ili kwamba ampunguzie majukumu, ndio huyu Suarez na Neymar wamekuja.
-Kipindi ambacho Messi alikuwa anachezeshwa katikati mzigo wote wa timu ulikuwa juu yake.
------Nipo tayari kurekebishwa pale ambapo nimekosea
cc Mourinho, Salamander, Chebi, Douta, n.k
 
Pumba. Kwako mchezaji bora ni anayeperform big games tu kama ni hivyo basi aguero mkali kuliko messi na Cr7.

Ndani ya miaka6 ana hat tricks sawa na messi wa misimu 11. Kafunga kila mji pale Spain. Kafunga magoli ya kumwaga hadi sasa na ndio best player kama hutaki sijui akusaidiaje

Halafu tafuta maana ya free role kwenye mpira ili ujue aina ya uchezaji wa Cr7 wa Madrid ulivyotofauti na wa wakati ule akiwa MU.

kama kwa mtazamo wako ronaldo ni best sawa ila kwangu ni mavi tu
 
Aisee MO11 huyu jamaa Ronaldo kakufanya nini? Mbona unamchukia sana? Naona bifu lako na yeye ni "personal" sana kumzidi hata Messi ambaye wakionana watasalimiana na kupiga stori. Huoni chochote cha maana kwake hata kimoja? Yaani hata wale makocha, waandishi wa habari na viranja wa timu za taifa waliompa uchezaji bora wa dunia mara mbili mfululizo wooote wamekosea? Punguza chuki kidogo aisee, sio vizuri kwa afya yako.

hivi aliyepewa mara mbili mfululizo na nne mfululizo mkali mara mbili ??
 
Last edited by a moderator:
Hv nani kati ya hawa wawili amewai vunja rekodi ya magwiji wa mpira wa miguu duniani kama vile "Maradona,pele & dirimma"tukieleweshana hapa ndo tutajua nani mkali maana unapo vunja rekod ya alietangulia ndipo historia ya mpira inakutambua tafadhari mwenye kujua nani kavunja rekodi za hao watu kati ya Mess na christiano

Messi kavunja rekodi ya Pelle ,Zara na gerd muller
 
Boss, kwanza hakuna Real Madrid ya Ronaldo wala mtu yoyote yule. Na Ronaldo hachezi Madrid, matter-fact hachezi kabisa, ameshastaafu.

Pili, binafsi nakubali Messi ni zaidi ya Cristiano Ronaldo, ila huyu Messi mnayem-paint utakatifu si ndio alimgomea coach kutolewa uwanjani, na kukwaruzana na Lucho mazoezini, ama ni yupi?

Acheni hizi mambo bana, sifia wa kwako ila usimuongelee vibaya mwingine.
Messi ni mchezaj bora, lakn mtambue ni jeur kiburi na mbinafsi pia, hebu jarbun kuangalia mpira kwa jicho la 3. Neymar anakuwa hayuko free sabab tu ya messi, muangalien messi anapoingia ktk 18, anahtaj one 2... Si messi huyu huyu alimsema cr. Tello kwa kutompa pasi ya kufunga.. Msitumezeshe sumu humu. Sawa messi mchezaj bora lakin hayo mengine hapana kwa kweli
 
poa tutoe magoli matano ya messi wangeishia wapi na asingetoa assist kwa di maria

Ubishani maandazi tuu, mpira wenyewe mpaka usimuliwe ndio upate facts. Aliyekusimulia kakudanganya, kamwambie tena akusimulie messi alifunga goli ngapi world cup ya brazil.
 
Mie ndio maana hii ligi ya messi na ronaldo siipend... Nmebak kushabikia wachezaj wachache tu, kipenzi changu ricardo ernesto al mangungule kàkà kibraza, alipopotea ktk raman ya soka nimebak kuwa mpenz tu kina ibrahimovic, mata, pirlo, matuid, cazorla, arda turan, alonso

Inakera sana unapokutana na shabik wa messi au cr.7 watataka kukuaminisha vtu vingine ambavyo havipo kabsa kwa watu wanaojua kulitizama soka na kulifuatilia
 
hivi aliyepewa mara mbili mfululizo na nne mfululizo mkali mara mbili ??
Yaani hapo kapata mara mbili tu mfululizo unaumia hivyo, ikifika mara nne si utakunywa sumu kweli wewe? Mimi nimekushauri tu kiugwana, sio vizuri kiafya kuchukia mtu au kitu kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom