MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Mimi nikajua unampongeza kwa kuwaita MAMBUMBUMBUYanga walimpa pesa bila kumsainisha mahali popote pole yao
Haya manara(kwetu huko ni mateke Tena yasiyona mpangilio ,manara mateke matekeRage ni mtu wa kujikweza tu, ni mtu mwenye mbwembwe nyingi (extremely pompancy) nakumbuka katika CV yake katika tovuti ya bunge aliandika eti ana Masters in Business Administration- MBA wakati ni uwongo huyu jamaa alivyomaliza A level miaka ya sabini alijiunga pale SHY-COM kuchukua cheti cha NABOCE . Baada ya hapo akaendelea na ujanja ujanja wake huo wakujifanya anajua sheria bila kusomea sheria.
Rage kazijulia sheria za FIFA wapi hajawahi kuwa mjumbe wa kamati yoyote katika chombo hicho sasa sheria kazijulia wapi? Rage ni mwongo na kujifanya mjuwaji na specialty wa lobbing basi
But kumbuka morrison atalipa yanga 69m na yanga watamlipa 12m?Ufuatao ni Mjumuisho wa Kauli yake Moja tu aliyoitoa kila alipokuwa akihojiwa kuhusu Maoni yake juu ya Rufaa ya Yanga SC dhidi ya Wakili Msomi Raia wa Ghana Bernard Morrison aliyewamwaga Utumbo leo kwa Kushinda...
On top of that 'uneducated'. Luc alijua kuwa define hawa mandondocha wa Utopolo.Kama vile na nyie Yanga SC yule Kocha wenu Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) aliposema kuwa wana Yanga SC ni Sokwe, Mbwa na Nyani.
Ungem prove wrong kwa kauli yake juu ya rufaa ya uto huko CAS ingeleta maana,lakini hapa ni kama ulishikwa na tumbo la kuhara na ndiyo umekuja kuharishia humu. Pole,usisahau kuchamba tu.Rage ni mtu wa kujikweza tu, ni mtu mwenye mbwembwe nyingi (extremely pompancy) nakumbuka katika CV yake katika tovuti ya bunge aliandika eti ana Masters in Business Administration...
Aibu yenu nyani wa pori la UtopoloSi tulikuabaliana kuwa Viongozi wa Yanga hasa Mwakalebela wanatudanganya sisi mashabiki na Wanachama wa Yanga kuwa hakuna kesi yoyote CAS,sasa leo hii hukumu imetoka pande zipi?
AiseeeeMtunuku na kitobo ulichonacho nyuma
Watanzania tutafika mbinguni tumechoka kweli kweli hoiii8 bin taaaban πππRage ni mtu wa kujikweza tu, ni mtu mwenye mbwembwe nyingi (extremely pompancy) nakumbuka katika CV yake katika tovuti ya bunge aliandika eti ana Masters in Business Administration...
Alipe ya nini na pesa zenu alizikataaBut kumbuka morrison atalipa yanga 69m na yanga watamlipa 12m????
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Ndiyo hiyo mkuu, sema anaogopa mikia wenzie watamsimangaMimi nikajua unampongeza kwa kuwaita MAMBUMBUMBU
Alilipa lini iyo pesa ebu tuonyeshe iyo slip, unamuita mwenzako mpumbavu kumbe wewe ndo kubwa la wapumbavu, Kama alilipa kwanini wamwambie ailipe iyo pesa? Au alikuletea wewe nyumbani kwako?Jitahidi usiwe Mpumbavu na uwe unafuatilia Mambo na kuyaelewa vyema sawa?
Hiyo Pesa unayoona Bernard Morrison anatakiwa Kuilipa Yanga SC alishawarejeshea zamani sana.
Kwa sasa Yanga SC ndiyo wanatakiwa Wao Kumlipa kama Gharama ya Kuiendesha hiyo Kesi.
SwadaktaaaMama yako Mzazi ameacha lini Kumtunuku?
Nyani watabaki kuwa nyani tu hata wavalishwe suti ya vipande vitatu. Luc alikuwa sahihi kabisa.Ubongo wako una Usaha usinipotezee muda tafadhali sawa? Nasisitiza tena nikijiamini 100% kabisa kuwa Mchezaji Bernard Morrison alishawarejeshea Yanga SC hiyo Pesa yao Kitambo tu na Hukumu ya Jana ni ya Yanga SC Kumlipa Yeye ( Morrison ) hiyo Tsh Milioni 12 kama Gharama za uendeshaji hiyo Kesi...
Alilipa lini iyo pesa ebu tuonyeshe iyo slip, unamuita mwenzako mpumbavu kumbe wewe ndo kubwa la wapumbavu, Kama alilipa kwanini wamwambie ailipe iyo pesa? Au alikuletea wewe nyumbani kwako?Jitahidi usiwe Mpumbavu na uwe unafuatilia Mambo na kuyaelewa vyema sawa?
Hiyo Pesa unayoona Bernard Morrison anatakiwa Kuilipa Yanga SC alishawarejeshea zamani sana.
Kwa sasa Yanga SC ndiyo wanatakiwa Wao Kumlipa kama Gharama ya Kuiendesha hiyo Kesi.
Wewe acha umbuzi wako kwaiyo magazeti ndo account yanga eti, magazeti ndo wahasibu wa yanga? Ayo magazeti yamekupa slip yoyote inayoonyesha Morrison aliilipa yanga iyo pesa?Ubongo wako una Usaha usinipotezee muda tafadhali sawa? Nasisitiza tena nikijiamini 100% kabisa kuwa Mchezaji Bernard Morrison alishawarejeshea Yanga SC hiyo Pesa yao Kitambo tu na Hukumu ya Jana ni ya Yanga SC Kumlipa Yeye ( Morrison ) hiyo Tsh Milioni 12 kama Gharama za uendeshaji hiyo Kesi...