Kuanzia leo Ismail Aden Rage namtunuku rasmi 'Honorary Doctorate Degree' kwa Kuzijua vyema Sheria za Soka za FIFA na CAS

But kumbuka morrison atalipa yanga 69m na yanga watamlipa 12m????
Wewe unazungumzia hukumu ya TFF au ya CAS? Hizo 69M alizowekewa Morrison kwenye akaunti bila yeye kujua ilikuwa janja ya viongozi wa Yanga ili ionekane kama hawadai chochote, na Morrison wala hakuzigusa. Ilipotoka hukumu ya TFF alizirudisha

"Kiungo wa Simba, Bernard Morrison atalipwa kitita cha Swis 5,000 (sawa na Sh12,396,787) baada ya kushinda kesi iliyokuwepo baina yake na Yanga.

Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatatu Novemba 22, 201 na Mahakama ya Usuluhishi ya Michezo (CAS) ikisainiwa na msimamizi wa shitaka hilo, Patrick Stewart, ambayo pia iliambatana na Yanga kulipa asilimia 90 za uendeshwaji wa shauri hilo.
"
 
Alilipa lini iyo pesa ebu tuonyeshe iyo slip, unamuita mwenzako mpumbavu kumbe wewe ndo kubwa la wapumbavu, Kama alilipa kwanini wamwambie ailipe iyo pesa? Au alikuletea wewe nyumbani kwako?..
Mkuu sio kulipa, bali hakuzitumia kabisa maana ziliwekwa kimya kimya na uongozi wa Yanga kama fedha za usajili mpya wa miaka miwili

1637646109533.png
 
Alilipa lini iyo pesa ebu tuonyeshe iyo slip, unamuita mwenzako mpumbavu kumbe wewe ndo kubwa la wapumbavu, Kama alilipa kwanini wamwambie ailipe iyo pesa? Au alikuletea wewe nyumbani kwako?...

Rage ni mtu wa kujikweza tu, ni mtu mwenye mbwembwe nyingi (extremely pompancy) nakumbuka katika CV yake katika tovuti ya bunge aliandika eti ana Masters in Business Administration- MBA wakati ni uwongo huyu jamaa alivyomaliza A level miaka ya sabini alijiunga pale SHY-COM kuchukua cheti cha NABOCE . Baada ya hapo akaendelea na ujanja ujanja wake huo wakujifanya anajua sheria bila kusomea sheria.

Rage kazijulia sheria za FIFA wapi hajawahi kuwa mjumbe wa kamati yoyote katika chombo hicho sasa sheria kazijulia wapi? Rage ni mwongo na kujifanya mjuwaji na specialty wa lobbing basi
Da we unamjua kweli,kasoma na mzee wangu kazima secondary ,hana hata diploma
 
Ufuatao ni Mjumuisho wa Kauli yake Moja tu aliyoitoa kila alipokuwa akihojiwa kuhusu Maoni yake juu ya Rufaa ya Yanga SC dhidi ya Wakili Msomi Raia wa Ghana Bernard Morrison aliyewamwaga Utumbo leo kwa Kushinda....

"Nawashauri Yanga SC waachane na kutaka Kukata Rufaa huko CAS kwani wanapoteza tu muda wao na Pesa kwani hawatoshinda kutokana na Ushahidi toshelezi kutoka kwa Kamati ya Rufaa ya TFF ambayo kwa Haki kabisa imemuidhinisha Mchezaji Bernard Morrison kuwa Mchezaji halali wa Simba SC" alisema Ismail Aden Rage.

Leo mtanikoma hakyanani mvumilie tu!!
unawapenda sana wanaume YANGA, kila siku kuwaongelea
 
But kumbuka morrison atalipa yanga 69m na yanga watamlipa 12m?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app

Wakati ule anatoa hadi evidence ya E-mail akiwaamuru Bank yake warudishe zile pesa zilizoingizwa kwa Account yake kinyemela ulikuwa wapi? Hapa Yanga ndiyo wamekula za Uso,wanalipa gharama za kesi 90% na Morrison analipa only 10%,wakati huo huo Yanga wanamlipa tena Morrison 12M+.
 
Hivi nimesema Yeye ni Mahiri katika Sheria na Kesi za Soka au hizi za Kiuhalifu? Kuna Watu mna laana Ubongoni na ndiyo maana ni Foolish mno.
Wewe ni kielelezo cha ujinga, ni vizuri ubakie kwenye mipasho yako usiwe unaongelea vitu huvijui, blood fool.
 
Ufuatao ni Mjumuisho wa Kauli yake Moja tu aliyoitoa kila alipokuwa akihojiwa kuhusu Maoni yake juu ya Rufaa ya Yanga SC dhidi ya Wakili Msomi Raia wa Ghana Bernard Morrison aliyewamwaga Utumbo leo kwa Kushinda....

"Nawashauri Yanga SC waachane na kutaka Kukata Rufaa huko CAS kwani wanapoteza tu muda wao na Pesa kwani hawatoshinda kutokana na Ushahidi toshelezi kutoka kwa Kamati ya Rufaa ya TFF ambayo kwa Haki kabisa imemuidhinisha Mchezaji Bernard Morrison kuwa Mchezaji halali wa Simba SC" alisema Ismail Aden Rage.

Leo mtanikoma hakyanani mvumilie tu!!
Soka la Bongo janja Janja nyingi sana na sisi mashabiki tunapenda kudanganywa sana.

Ila niseme tu Simba Nguvu moja
 
Rage ni mtu wa kujikweza tu, ni mtu mwenye mbwembwe nyingi (extremely pompancy) nakumbuka katika CV yake katika tovuti ya bunge aliandika eti ana Masters in Business Administration- MBA wakati ni uwongo huyu jamaa alivyomaliza A level miaka ya sabini alijiunga pale SHY-COM kuchukua cheti cha NABOCE . Baada ya hapo akaendelea na ujanja ujanja wake huo wakujifanya anajua sheria bila kusomea sheria.

Rage kazijulia sheria za FIFA wapi hajawahi kuwa mjumbe wa kamati yoyote katika chombo hicho sasa sheria kazijulia wapi? Rage ni mwongo na kujifanya mjuwaji na specialty wa lobbing basi
Punguza hasira mkuu hii haitabadiri kauli yake ya kuwaita ninyi mambumbumbu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ufuatao ni Mjumuisho wa Kauli yake Moja tu aliyoitoa kila alipokuwa akihojiwa kuhusu Maoni yake juu ya Rufaa ya Yanga SC dhidi ya Wakili Msomi Raia wa Ghana Bernard Morrison aliyewamwaga Utumbo leo kwa Kushinda....

"Nawashauri Yanga SC waachane na kutaka Kukata Rufaa huko CAS kwani wanapoteza tu muda wao na Pesa kwani hawatoshinda kutokana na Ushahidi toshelezi kutoka kwa Kamati ya Rufaa ya TFF ambayo kwa Haki kabisa imemuidhinisha Mchezaji Bernard Morrison kuwa Mchezaji halali wa Simba SC" alisema Ismail Aden Rage.

Leo mtanikoma hakyanani mvumilie tu!!
Dr Rage
 
Back
Top Bottom