Kuanzia leo Ismail Aden Rage namtunuku rasmi 'Honorary Doctorate Degree' kwa Kuzijua vyema Sheria za Soka za FIFA na CAS

But kumbuka morrison atalipa yanga 69m na yanga watamlipa 12m????
Wewe unazungumzia hukumu ya TFF au ya CAS? Hizo 69M alizowekewa Morrison kwenye akaunti bila yeye kujua ilikuwa janja ya viongozi wa Yanga ili ionekane kama hawadai chochote, na Morrison wala hakuzigusa. Ilipotoka hukumu ya TFF alizirudisha

"Kiungo wa Simba, Bernard Morrison atalipwa kitita cha Swis 5,000 (sawa na Sh12,396,787) baada ya kushinda kesi iliyokuwepo baina yake na Yanga.

Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatatu Novemba 22, 201 na Mahakama ya Usuluhishi ya Michezo (CAS) ikisainiwa na msimamizi wa shitaka hilo, Patrick Stewart, ambayo pia iliambatana na Yanga kulipa asilimia 90 za uendeshwaji wa shauri hilo.
"
 
Alilipa lini iyo pesa ebu tuonyeshe iyo slip, unamuita mwenzako mpumbavu kumbe wewe ndo kubwa la wapumbavu, Kama alilipa kwanini wamwambie ailipe iyo pesa? Au alikuletea wewe nyumbani kwako?..
Mkuu sio kulipa, bali hakuzitumia kabisa maana ziliwekwa kimya kimya na uongozi wa Yanga kama fedha za usajili mpya wa miaka miwili

 
Alilipa lini iyo pesa ebu tuonyeshe iyo slip, unamuita mwenzako mpumbavu kumbe wewe ndo kubwa la wapumbavu, Kama alilipa kwanini wamwambie ailipe iyo pesa? Au alikuletea wewe nyumbani kwako?...

 
Da we unamjua kweli,kasoma na mzee wangu kazima secondary ,hana hata diploma
 
unawapenda sana wanaume YANGA, kila siku kuwaongelea
 
But kumbuka morrison atalipa yanga 69m na yanga watamlipa 12m?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app

Wakati ule anatoa hadi evidence ya E-mail akiwaamuru Bank yake warudishe zile pesa zilizoingizwa kwa Account yake kinyemela ulikuwa wapi? Hapa Yanga ndiyo wamekula za Uso,wanalipa gharama za kesi 90% na Morrison analipa only 10%,wakati huo huo Yanga wanamlipa tena Morrison 12M+.
 
Hivi nimesema Yeye ni Mahiri katika Sheria na Kesi za Soka au hizi za Kiuhalifu? Kuna Watu mna laana Ubongoni na ndiyo maana ni Foolish mno.
Wewe ni kielelezo cha ujinga, ni vizuri ubakie kwenye mipasho yako usiwe unaongelea vitu huvijui, blood fool.
 
Soka la Bongo janja Janja nyingi sana na sisi mashabiki tunapenda kudanganywa sana.

Ila niseme tu Simba Nguvu moja
 
Punguza hasira mkuu hii haitabadiri kauli yake ya kuwaita ninyi mambumbumbu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dr Rage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…