Kuanzia leo mimi sio Mkatoliki tena, wala kanisa lisinizike, liendee na ushoga wake

Kuanzia leo mimi sio Mkatoliki tena, wala kanisa lisinizike, liendee na ushoga wake

Jemima Mrembo

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
2,864
Reaction score
8,328
Sikubaliani na kanisa kuhalalisha dhambi badala ya kukema dhambi.
Kuanzia leo mimi si Mkatoliki tena, ninamkataa shetani na kazi zake zote.

Wasinizike wala kunipa huduma zozote wanazodhani ni za kiroho.

Sitahamia kanisa lolote, bali nitaendelea kumuabudu Mungu katika roho na kweli

Waefeso 5:11-17
[11]Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee;
And have no fellowship with the unfruitful works of darkness, but rather reprove them.
[12]kwa kuwa yanayotendeka kwao kwa siri, ni aibu hata kuyanena.
For it is a shame even to speak of those things which are done of them in secret.
[13]Lakini yote yaliyokemewa hudhihirishwa na nuru maana kila kilichodhihirika ni nuru.
But all things that are reproved are made manifest by the light: for whatsoever doth make manifest is light.
[14]Hivyo husema,
Amka, wewe usinziaye,
Ufufuke katika wafu,
Na Kristo atakuangaza.

Wherefore he saith, Awake thou that sleepest, and arise from the dead, and Christ shall give thee light.
[15]Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima;
See then that ye walk circumspectly, not as fools, but as wise,
[16]mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.
Redeeming the time, because the days are evil.
[17]Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana.
Wherefore be ye not unwise, but understanding what the will of the Lord is.
 
Ufunuo 18:4 Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake. 5Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amekumbuka maovu yake.
 
Karibu katika uislamu

Kwa nini Uislamu hauna kiongozi wa dunia mfano wa Papa?

Kwa sababu Uislamu unawataka watu wajifikirie wenyewe, badala ya kuwa na mtu aliyeteuliwa na wanasiasa kuwaambia watu wamfuate nani na wafanye nini.

Asili ya Uislamu ni kumkomboa mwanadamu, kwani imani na utii lazima utokane na mwanadamu mwenye hiari.

Mtume na wafuasi wake walihubiri na kutetea imani kwa maisha yao yote, ambayo ilikuwa ni kuwakomboa wanadamu kutoka kwenye ukandamizaji na kuwapa fursa ya kuchagua kwa uhuru kumwabudu MUNGU (au la, juu yako mradi tu usilazimishe itikadi yako kwa wengine).

Mambo mawili hayapo katika Uislamu:
Dhana ya kwamba kiongozi wa kiroho hana dhambi hiyo haipo katika uislamu wa leo, kila sheikh anayejinasibu ni kiongozi wa kidini basi anazo dhambi. (dhana ya papa kutokua na dhambi ni kosa kubwa sana kuamini hivyo),

Na wazo la kwamba mtu yeyote Hana haki (zaidi ya kile kinachozingatiwa kuwa makubaliano ya umoja kwa jambo lolote la kidini. (Uislamu hauna mambo hayo).

Hii ni kwasababu uongozi wa kiroho katika uislamu hauchaguliwi na watu bali MUNGU mwenyewe ndio huwachagua viongozi wa kiroho. Wala Masheikh wa leo sio viongozi wa kiroho waliochaguliwa na MUNGU bali hao ni wasomi na wanazuoni wa dini tu ambapo mtu yeyote anaweza kusoma na kufikia hapo. Na wala kisomo chake hakiwezi kumpa uongozi wa kiroho na kumtakasa kutokana na dhambi.

Papa anaaminika kulindwa na Roho Mtakatifu kutokana na makosa anapofundisha jambo fulani kinyume na maadili

Uislamu hauna mtu ambaye anaonekana kuwa na kinga dhidi ya makosa ya kimaadili na kimafundisho katika ofisi yake ya ualimu.

Shida inakuja kwamba kuamini 'Papa hana makosa'. Hii imeruhusu viwango vya ajabu vya umoja, mshikamano, na ulimwengu wote katika mafundisho na desturi za kidini, ambazo pia huamuliwa na kiongozi wao mkuu.

Kwa maneno ya mwisho ni kwamba uwepo wa mamlaka kuu ya kidini kwa kawaida haifanyi dini kuwa isiyo na sheria. Ikiwa Papa hana hofu juu ya ushoga haimaanishi mlango wako wa kutafakari umefungwa. Wewe Fuata sheria za MUNGU wako, achana na mamlaka inayokengeuka, na hivyo ndivyo sisi waislamu tunafundishwa.

Uislamu unampa uhuru kila mtu kuhoji na kutafakari bila mipaka, uislamu haujamfunga mtu pingu ndio maana unaona kila mtu katika uislamu anazungumza, na mwenye haki hupata wafuasi wengi na hiyo ndio demokrasi.
 
Wewe si Mkatoliki wala haujawahi kuwa mkatoliki. Hakuna Mkatoliki mjinga wa hivi
Imani ya mtu ni yake yeye na mafundisho ya Kanisa aliyoyapata/ kuyachambua + Mungu wake.. kusema anahama dhehebu kisa Papa karopoka alichoropoka me naona ni dalili za kutokuwa serious na maisha 😂😂

Mchungaji/ padri wako Kanisani akisema kesho mje Kanisani na vichupi, utafanya? Ni haiwezekani.

Za kuambiwa changanya na zako
Papa nae mtu kama watu wengine tu
Wakatoliki wangapi b4 Easter anaungama dhambi ya kuzini lakini anaweza asimalize masaa 72 hajazini.
 
karibu katika uislamu, Uislamu ndio pekee iliyobaki na miongozo yake ya awali hakuna mabadiliko na hakutakuwa na mabadiliko mpaka dunia inaisha. Usiwaangalie waislamu bali wewe soma Quran na usome uislamu utapata mwangaza. By the way we muslims beleive in Jesus as well

Hebu mcheki huyu Andrew Tate kijana maarufu huko Europe alisema yeye ni mkiristo lakini anaamini dini ya kiislamu ndio ya kweli. Nakuwekea clip yake hapa utaiona.. baadae alisoma Quran akasilimu mwaka jana

View: https://youtu.be/3UJe6RVY0jg?si=-RdY9skoBI41SgJ5
 
Back
Top Bottom