Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina haja. Tumuabudu Mungu katika roho na kweliJemima tuanzishe fellowship tuukomboe wakati
UmekombolewaMimi niliachaga kwenda kwa wagalatia Toka 2015 maana dini Yao ni ya kiwaki sana kwanza dini sio kigezo cha kunipeleka mbinguni
Issue kuwa mkristo na sio kuwa mkatoliki wala MKKKTWewe si Mkatoliki wala haujawahi kuwa mkatoliki. Hakuna Mkatoliki mjinga wa hivi
Matendo ya Mitume 2:46Haina haja. Tumuabudu Mungu katika roho na kweli
Hakuna Mungu watatu… Mungu Ni mmoja aliyezifanya mbingu na ardhi. Kasome sala ya Nasadiki.Yupi hasa uliyemlenga?
Mna watatu ninyi.
watu wengi sana wanapoteza uelekeo wa kiimani kwa kukosa uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya masuala mbalimbali, mathalani hili la ushoga...Sikubaliani na kanisa kuhalalisha dhambi badala ya kukema dhambi.
Kuanzia leo mimi si Mkatoliki tena, ninamkataa shetani na kazi zake zote.
Wasinizike wala kunipa huduma zozote wanazodhani ni za kiroho.
Sitahamia kanisa lolote, bali nitaendelea kumuabudu Mungu katika roho na kweli
Waefeso 5:11-17
[11]Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee;
And have no fellowship with the unfruitful works of darkness, but rather reprove them.
[12]kwa kuwa yanayotendeka kwao kwa siri, ni aibu hata kuyanena.
For it is a shame even to speak of those things which are done of them in secret.
[13]Lakini yote yaliyokemewa hudhihirishwa na nuru maana kila kilichodhihirika ni nuru.
But all things that are reproved are made manifest by the light: for whatsoever doth make manifest is light.
[14]Hivyo husema,
Amka, wewe usinziaye,
Ufufuke katika wafu,
Na Kristo atakuangaza.
Wherefore he saith, Awake thou that sleepest, and arise from the dead, and Christ shall give thee light.
[15]Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima;
See then that ye walk circumspectly, not as fools, but as wise,
[16]mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.
Redeeming the time, because the days are evil.
[17]Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana.
Wherefore be ye not unwise, but understanding what the will of the Lord is.