Kuanzia leo mimi sio Mkatoliki tena, wala kanisa lisinizike, liendee na ushoga wake

Kuanzia leo mimi sio Mkatoliki tena, wala kanisa lisinizike, liendee na ushoga wake

Tazama tec tu ilivyo, nani pale wa kukemea mwenzake?
 
Nadhani wengi mmeshindwa muelewa Papa. Hajabariki ndoa za jinsia Moja, bali wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja, wanayo haki ya kupata baraka kama walivyo wadhambi wengi wengine wowote-wezi, mafisadi n.k.
Dhambi ya ushoga haina toba sodoma na gomola ilikuwq ni ushoga watu waliangamizwa
 
Huu waraka ungeandika group la jumuiya,kanisani,na kwenye group la familia
 
Sikubaliani na kanisa kuhalalisha dhambi badala ya kukema dhambi.
Kuanzia leo mimi si Mkatoliki tena, ninamkataa shetani na kazi zake zote.

Wasinizike wala kunipa huduma zozote wanazodhani ni za kiroho.

Sitahamia kanisa lolote, bali nitaendelea kumuabudu Mungu katika roho na kweli

Waefeso 5:11-17
[11]Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee;
And have no fellowship with the unfruitful works of darkness, but rather reprove them.
[12]kwa kuwa yanayotendeka kwao kwa siri, ni aibu hata kuyanena.
For it is a shame even to speak of those things which are done of them in secret.
[13]Lakini yote yaliyokemewa hudhihirishwa na nuru maana kila kilichodhihirika ni nuru.
But all things that are reproved are made manifest by the light: for whatsoever doth make manifest is light.
[14]Hivyo husema,
Amka, wewe usinziaye,
Ufufuke katika wafu,
Na Kristo atakuangaza.

Wherefore he saith, Awake thou that sleepest, and arise from the dead, and Christ shall give thee light.
[15]Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima;
See then that ye walk circumspectly, not as fools, but as wise,
[16]mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.
Redeeming the time, because the days are evil.
[17]Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana.
Wherefore be ye not unwise, but understanding what the will of the Lord is.
Wewe sio Mkatoliki lkn umejifanya Mkatoliki.Hebu acha Propaganda za majitaka wewe.Wenye akili na muono wa mbali tushajua mbinu yako ya kitoto sana.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Kwa kweli
Amebakiza pafupi agonge 90yrs
Si wanasemaga mtu akizeeka akili inarudi utotoni? Si ajabu dishi limeanza kuyumba
.
Wala sio swala la umri, do you really think pope anaweza kufanya maamuzi kwenye issue nyeti kama hii akiwa peke yake?? Think again.
 
Nliachana na mambo za ukatoliki toka niko kidato cha pili. Kuna mambo mengi hayamake sense.
Mzee wangu alihisi tu huyu kijana anatukimbia lakini hakuwahi pata uthibitisho.
Actually, mimi siamini katika mambo ya makanisa
Kuna challenge moja ukitoka RC unapata wakati mgumu kujiunga na kanisa lingine,!!
 
Naunga mkono hoja.
Kanisa nisehemu inayotujenga kuyakataa maovu
Kanisa nisehemu ambayo maovu yanakemewa na kukatazwa.
Leo kanisa linasapoti maovu ukiwauliza leteni maandiko ya kubariki ushoga hawana
Kiukweli ninamwaka 2 Sasa sijui mlango wa kanisa na nikobize kujifunza Imani ya kiislam.
 
Wanaruhusiwa kuja kwenye kanisa, yaani mtu umejipanga foleni ya kupokea Mwili wa kristo Mbele yako unamuona James Delicious?? STUPID KABISAA
Nadhani wengi mmeshindwa muelewa Papa. Hajabariki ndoa za jinsia Moja, bali wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja, wanayo haki ya kupata baraka kama walivyo wadhambi wengi wengine wowote-wezi, mafisadi n.k.
 
Wanaruhusiwa kuja kwenye kanisa, yaani mtu umejipanga foleni ya kupokea Mwili wa kristo Mbele yako unamuona James Delicious?? STUPID KABISAA
Nadhani wengi mmeshindwa muelewa Papa. Hajabariki ndoa za jinsia Moja, bali wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja, wanayo haki ya kupata baraka kama walivyo wadhambi wengi wengine wowote-wezi, mafisadi n.k.
 
Tunaposema Uislamu ni dini iliyokamilika na ni mfumo SAHIHI wa maisha tunamaana ifuatayo.
1.uislamu una sharia zilizowekwa kutoka Kwa Mungu.
2.Hukumu,kanuni na taratibu ya kila kitu kimeshapangwa.
3.Uislamu umeshaweka mfuko wa maisha ya waislamu ya kila siku.mfano,sheria za ndoa,Mali/mirathi,mahakama,kuvaa,kula,kutembea,mahusiano,uchumba,kulala,kuamka,kuongea,kusalimia,kuishi na majirani,kusaidia mayatima,kusaidia wajane.n.k,n.k
4.Uislam una utaratibu maalum wa Uongozi na Utawala.
N.b hayo yote niliyoeleza ndio tafsiri ya Neno Uislamu ni mfumo wa Maisha ya mwanadamu Kwa matakwa na Muongozo wa Quraan,hakuna Qaadhi,sheikhe,imaam wala kiongozi yoyote wa Uislamu anaeweza kuedit Quraan Wala mfumo huo ambao tayari umeshawekwa tangu hapo mwanzo,ndio maana Quraan itabaki hivyo hivyo katika asili yake tangu iliposhushwa kutoka Mbinguni,na utaratibu huu utafuatwa na Waislamu wote duniani awe mchina,mzungu,mwarabu,myahudi,mwafrika,muhindi au yoyote yule.🤝
 
Haina haja ya kututangazia ndugu,kwa maana kile ukionacho kinafaa kwako basi fanya.
Kutuletea Uzi humu,kwa swala ambalo lipo ndani ya uwezo wako unatukosea.
Hata ukitaka kujua,usiwashirikishe watu we chukua vifaa maliza,ukiwashirikisha watu unakuwa haupo siriasi Bali unakuwa unataka wakupe ushauri.
Kuna mawili,ujiuwe au ubaki hai.
Acha kuleta mijadala isiyokuwa na tija.
Imani ni yako peke ako.
 
Atheist hao na Maadili yao wanayotaka tufate😂
***** wataniua.
 
Limeruhusu bado tamko rasmi lakini dalili za Mvua ni mawingu usikute huko Vatican watu wameoana otherwise wanapata wapi ujasiri wa kutangaza upuuzi?
Kama Kanisa lingeruhusu Ushonga Basi Dunia ingesimama kwa muda....maana ungekuwa ni mstuko wa Dunia nzima na ungedumu Kwa miezi sita .....
,
 
Uliingia Ukatoliki kwaajili ya Papa? Kuna mapapa zaidi ya 200 walikalia hicho kiti anachokalia Papa Francis.
Sio wote waliofata mafundisho ya Biblia, wengine walikua mamluki.
Kwanini kanisa lisimpinge Kama amepotoka? Ukatoliki unaendeshwa Kama CCM,au Chama cha Kikomunisti cha China asemacho mwenyekiti ni NDIYO na AMINA
 
Back
Top Bottom