Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Haa MakafirKaribu kwenye nuru ya Allah.
Rudi kwenye Uislam.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haa MakafirKaribu kwenye nuru ya Allah.
Rudi kwenye Uislam.
Dhambi ya ushoga haina toba sodoma na gomola ilikuwq ni ushoga watu waliangamizwaNadhani wengi mmeshindwa muelewa Papa. Hajabariki ndoa za jinsia Moja, bali wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja, wanayo haki ya kupata baraka kama walivyo wadhambi wengi wengine wowote-wezi, mafisadi n.k.
Unavyopenda sasa haya mambo! 👀Wakatoliki wangapi b4 Easter anaungama dhambi ya kuzini lakini anaweza asimalize masaa 72 hajazini.
Wewe sio Mkatoliki lkn umejifanya Mkatoliki.Hebu acha Propaganda za majitaka wewe.Wenye akili na muono wa mbali tushajua mbinu yako ya kitoto sana.Sikubaliani na kanisa kuhalalisha dhambi badala ya kukema dhambi.
Kuanzia leo mimi si Mkatoliki tena, ninamkataa shetani na kazi zake zote.
Wasinizike wala kunipa huduma zozote wanazodhani ni za kiroho.
Sitahamia kanisa lolote, bali nitaendelea kumuabudu Mungu katika roho na kweli
Waefeso 5:11-17
[11]Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee;
And have no fellowship with the unfruitful works of darkness, but rather reprove them.
[12]kwa kuwa yanayotendeka kwao kwa siri, ni aibu hata kuyanena.
For it is a shame even to speak of those things which are done of them in secret.
[13]Lakini yote yaliyokemewa hudhihirishwa na nuru maana kila kilichodhihirika ni nuru.
But all things that are reproved are made manifest by the light: for whatsoever doth make manifest is light.
[14]Hivyo husema,
Amka, wewe usinziaye,
Ufufuke katika wafu,
Na Kristo atakuangaza.
Wherefore he saith, Awake thou that sleepest, and arise from the dead, and Christ shall give thee light.
[15]Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima;
See then that ye walk circumspectly, not as fools, but as wise,
[16]mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.
Redeeming the time, because the days are evil.
[17]Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana.
Wherefore be ye not unwise, but understanding what the will of the Lord is.
Huko mnakochinjana kama kuku? Aise bora nisisali nibaki bila dini...Karibu kwenye nuru ya Allah.
Rudi kwenye Uislam.
.Kwa kweli
Amebakiza pafupi agonge 90yrs
Si wanasemaga mtu akizeeka akili inarudi utotoni? Si ajabu dishi limeanza kuyumba
Kuna challenge moja ukitoka RC unapata wakati mgumu kujiunga na kanisa lingine,!!Nliachana na mambo za ukatoliki toka niko kidato cha pili. Kuna mambo mengi hayamake sense.
Mzee wangu alihisi tu huyu kijana anatukimbia lakini hakuwahi pata uthibitisho.
Actually, mimi siamini katika mambo ya makanisa
Nadhani wengi mmeshindwa muelewa Papa. Hajabariki ndoa za jinsia Moja, bali wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja, wanayo haki ya kupata baraka kama walivyo wadhambi wengi wengine wowote-wezi, mafisadi n.k.
Nadhani wengi mmeshindwa muelewa Papa. Hajabariki ndoa za jinsia Moja, bali wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja, wanayo haki ya kupata baraka kama walivyo wadhambi wengi wengine wowote-wezi, mafisadi n.k.
,Kama Kanisa lingeruhusu Ushonga Basi Dunia ingesimama kwa muda....maana ungekuwa ni mstuko wa Dunia nzima na ungedumu Kwa miezi sita .....
Kwanini kanisa lisimpinge Kama amepotoka? Ukatoliki unaendeshwa Kama CCM,au Chama cha Kikomunisti cha China asemacho mwenyekiti ni NDIYO na AMINAUliingia Ukatoliki kwaajili ya Papa? Kuna mapapa zaidi ya 200 walikalia hicho kiti anachokalia Papa Francis.
Sio wote waliofata mafundisho ya Biblia, wengine walikua mamluki.