Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unataka kunishawishi na haka ka-zaka kangu nisikatoeSikubaliani na kanisa kuhalalisha dhambi badala ya kukema dhambi.
Kuanzia leo mimi si Mkatoliki tena, ninamkataa shetani na kazi zake zote.
Wasinizike wala kunipa huduma zozote wanazodhani ni za kiroho.
Sitahamia kanisa lolote, bali nitaendelea kumuabudu Mungu katika roho na kweli
Waefeso 5:11-17
[11]Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee;
And have no fellowship with the unfruitful works of darkness, but rather reprove them.
[12]kwa kuwa yanayotendeka kwao kwa siri, ni aibu hata kuyanena.
For it is a shame even to speak of those things which are done of them in secret.
[13]Lakini yote yaliyokemewa hudhihirishwa na nuru maana kila kilichodhihirika ni nuru.
But all things that are reproved are made manifest by the light: for whatsoever doth make manifest is light.
[14]Hivyo husema,
Amka, wewe usinziaye,
Ufufuke katika wafu,
Na Kristo atakuangaza.
Wherefore he saith, Awake thou that sleepest, and arise from the dead, and Christ shall give thee light.
[15]Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima;
See then that ye walk circumspectly, not as fools, but as wise,
[16]mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.
Redeeming the time, because the days are evil.
[17]Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana.
Wherefore be ye not unwise, but understanding what the will of the Lord is.
.papa kaona aharibu mwisho wa mwaka huyoo papa kwa hayoo maneno ataharibu watu wengi sana duniani. yale mashirika yanayo tetea ndoa ya jinsia moja mwaka 2024 yatakuja kwa speed ya 5 g.
Sikubaliani na kanisa kuhalalisha dhambi badala ya kukema dhambi.
Kuanzia leo mimi si Mkatoliki tena, ninamkataa shetani na kazi zake zote.
Wasinizike wala kunipa huduma zozote wanazodhani ni za kiroho.
Sitahamia kanisa lolote, bali nitaendelea kumuabudu Mungu katika roho na kweli
Waefeso 5:11-17
[11]Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee;
And have no fellowship with the unfruitful works of darkness, but rather reprove them.
[12]kwa kuwa yanayotendeka kwao kwa siri, ni aibu hata kuyanena.
For it is a shame even to speak of those things which are done of them in secret.
[13]Lakini yote yaliyokemewa hudhihirishwa na nuru maana kila kilichodhihirika ni nuru.
But all things that are reproved are made manifest by the light: for whatsoever doth make manifest is light.
[14]Hivyo husema,
Amka, wewe usinziaye,
Ufufuke katika wafu,
Na Kristo atakuangaza.
Wherefore he saith, Awake thou that sleepest, and arise from the dead, and Christ shall give thee light.
[15]Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima;
See then that ye walk circumspectly, not as fools, but as wise,
[16]mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.
Redeeming the time, because the days are evil.
[17]Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana.
Wherefore be ye not unwise, but understanding what the will of the Lord is.
.
Muda ni mwamuzi mzuri, tusubiri.
Ww upo dini gani sshv!? Au upo kwa Mwamposya!Umekombolewa
Wala hukuwa Mkatoliki, endelea tu na u Pentekoste wako. Sisi bado twaliamini Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume.Sikubaliani na kanisa kuhalalisha dhambi badala ya kukema dhambi.
Kuanzia leo mimi si Mkatoliki tena, ninamkataa shetani na kazi zake zote.
Wasinizike wala kunipa huduma zozote wanazodhani ni za kiroho.
Sitahamia kanisa lolote, bali nitaendelea kumuabudu Mungu katika roho na kweli
Waefeso 5:11-17
[11]Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee;
And have no fellowship with the unfruitful works of darkness, but rather reprove them.
[12]kwa kuwa yanayotendeka kwao kwa siri, ni aibu hata kuyanena.
For it is a shame even to speak of those things which are done of them in secret.
[13]Lakini yote yaliyokemewa hudhihirishwa na nuru maana kila kilichodhihirika ni nuru.
But all things that are reproved are made manifest by the light: for whatsoever doth make manifest is light.
[14]Hivyo husema,
Amka, wewe usinziaye,
Ufufuke katika wafu,
Na Kristo atakuangaza.
Wherefore he saith, Awake thou that sleepest, and arise from the dead, and Christ shall give thee light.
[15]Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima;
See then that ye walk circumspectly, not as fools, but as wise,
[16]mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.
Redeeming the time, because the days are evil.
[17]Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana.
Wherefore be ye not unwise, but understanding what the will of the Lord is.
Nilijua tu huwezi kosekana kwenye uzi wa kidini. Hasa uzi wa kikatoliki ambao una mlengo wa kupondaKaribu kwenye nuru ya Allah.
Rudi kwenye Uislam.
Unadhani baba yako akikazania msinamo wake, nyie watoto mtakuwa na jipya?.
Wala sio swala la umri, do you really think pope anaweza kufanya maamuzi kwenye issue nyeti kama hii akiwa peke yake?? Think again.
.Unadhani baba yako akikazania msinamo wake, nyie watoto mtakuwa na jipya?.
that's a conservative view and it's undertandable. Papa ana mtazamo ambao ni more liberal. Na kwa kweli mimi nadhani yuko sawa. Kama james delicious hastahili kuingia kanisani, Chenge anapata wapi haki hiyo? Vipi kuhusu walevi? Vipi kuhusu wazinzi?. Unataka kuniambia james delicious ana madhara kwenye jamii kuliko Mafisadi ambao ni wazee wa kanisa?Wanaruhusiwa kuja kwenye kanisa, yaani mtu umejipanga foleni ya kupokea Mwili wa kristo Mbele yako unamuona James Delicious?? STUPID KABISAA
Hujaona CNN.... Punguza machungu Najua ni ngumu kumeza but ndio ukweli ndugu. Tusitegemee sana kumsaka Mungu Kawa kupitia hizi TAASISI. MUNGU Waweza kuwa na mahusiano nae bila hizi TAASISI.Hii ni fake news! Kanisa katoliki lina njia zake za kusambaza habari na maamuzi yake! Why not CNN , Why always ni BBC?? Catholic will prevail always
Baba atakazania msimamo.
Baba akiwaambia wanae wawe mashoga au wasagaji, watoto wamkubalie kwasababu yeye ni baba?
Fuata Uislamu kwa furaha yako lakini usitukaribishe sisi kwa kuwa tunaiona ni dini ya KISHETANI. Hata Salman Rushdie baada ya kusoma Quran vizuri akiona ni juzuu iliyojaa chuki, visasi na kumwaga damu. (rejea kitabu cha Satanic Verses)Karibu katika uislamu
Kwa nini Uislamu hauna kiongozi wa dunia mfano wa Papa?
Kwa sababu Uislamu unawataka watu wajifikirie wenyewe, badala ya kuwa na mtu aliyeteuliwa na wanasiasa kuwaambia watu wamfuate nani na wafanye nini.
Asili ya Uislamu ni kumkomboa mwanadamu, kwani imani na utii lazima utokane na mwanadamu mwenye hiari.
Mtume na wafuasi wake walihubiri na kutetea imani kwa maisha yao yote, ambayo ilikuwa ni kuwakomboa wanadamu kutoka kwenye ukandamizaji na kuwapa fursa ya kuchagua kwa uhuru kumwabudu MUNGU (au la, juu yako mradi tu usilazimishe itikadi yako kwa wengine).
Mambo mawili hayapo katika Uislamu:
Dhana ya kwamba kiongozi wa kiroho hana dhambi hiyo haipo katika uislamu wa leo, kila sheikh anayejinasibu ni kiongozi wa kidini basi anazo dhambi. (dhana ya papa kutokua na dhambi ni kosa kubwa sana kuamini hivyo),
Na wazo la kwamba mtu yeyote Hana haki (zaidi ya kile kinachozingatiwa kuwa makubaliano ya umoja kwa jambo lolote la kidini. (Uislamu hauna mambo hayo).
Hii ni kwasababu uongozi wa kiroho katika uislamu hauchaguliwi na watu bali MUNGU mwenyewe ndio huwachagua viongozi wa kiroho. Wala Masheikh wa leo sio viongozi wa kiroho waliochaguliwa na MUNGU bali hao ni wasomi na wanazuoni wa dini tu ambapo mtu yeyote anaweza kusoma na kufikia hapo. Na wala kisomo chake hakiwezi kumpa uongozi wa kiroho na kumtakasa kutokana na dhambi.
Papa anaaminika kulindwa na Roho Mtakatifu kutokana na makosa anapofundisha jambo fulani kinyume na maadili
Uislamu hauna mtu ambaye anaonekana kuwa na kinga dhidi ya makosa ya kimaadili na kimafundisho katika ofisi yake ya ualimu.
Shida inakuja kwamba kuamini 'Papa hana makosa'. Hii imeruhusu viwango vya ajabu vya umoja, mshikamano, na ulimwengu wote katika mafundisho na desturi za kidini, ambazo pia huamuliwa na kiongozi wao mkuu.
Kwa maneno ya mwisho ni kwamba uwepo wa mamlaka kuu ya kidini kwa kawaida haifanyi dini kuwa isiyo na sheria. Ikiwa Papa hana hofu juu ya ushoga haimaanishi mlango wako wa kutafakari umefungwa. Wewe Fuata sheria za MUNGU wako, achana na mamlaka inayokengeuka, na hivyo ndivyo sisi waislamu tunafundishwa.
Uislamu unampa uhuru kila mtu kuhoji na kutafakari bila mipaka, uislamu haujamfunga mtu pingu ndio maana unaona kila mtu katika uislamu anazungumza, na mwenye haki hupata wafuasi wengi na hiyo ndio demokrasi.
.Baba atakazania msimamo
Na nyie watoto mtachagua kuunga mkono, ama kumchinjia baharini.
So back to pope, wazungu wenzake wanapenda hiyo michezo watamfata,huku Tanzania hatuna hizo pigo so tutachinjia baharini hoja yake.
So baba atabaki na msimamo wake
Watoto mtachagua pakusimamia..