Kuanzia leo mimi sio Mkatoliki tena, wala kanisa lisinizike, liendee na ushoga wake

Sikubaliani na kanisa kuhalalisha dhambi badala ya kukema dhambi.
Kuanzia leo mimi si Mkatoliki tena, ninamkataa shetani na kazi zake zote.

Wasinizike wala kunipa huduma zozote wanazodhani ni za kiroho.

Sitahamia kanisa lolote, bali nitaendelea kumuabudu Mungu katika roho na kweli

Waefeso 5:11-17
[11]Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee;
And have no fellowship with the unfruitful works of darkness, but rather reprove them.
[12]kwa kuwa yanayotendeka kwao kwa siri, ni aibu hata kuyanena.
For it is a shame even to speak of those things which are done of them in secret.
[13]Lakini yote yaliyokemewa hudhihirishwa na nuru maana kila kilichodhihirika ni nuru.
But all things that are reproved are made manifest by the light: for whatsoever doth make manifest is light.
[14]Hivyo husema,
Amka, wewe usinziaye,
Ufufuke katika wafu,
Na Kristo atakuangaza.

Wherefore he saith, Awake thou that sleepest, and arise from the dead, and Christ shall give thee light.
[15]Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima;
See then that ye walk circumspectly, not as fools, but as wise,
[16]mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.
Redeeming the time, because the days are evil.
[17]Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana.
Wherefore be ye not unwise, but understanding what the will of the Lord is.
Upe uongozi muda.

Correction lazima itafanyika tu kwa nguvu ya Mungu
 
After all matendo ya mtu binafsi ndo yata-justify aelekee motoni au mbinguni, kama kweli vipo hivyo vitu lakini....Wacha niendelee kusali jumuiya na kupokea sakramenti hadi vitokee vinavyotaka kutokea ikiwezekana hadi mpaka kifo😇😇
.
Mkuu Leejay49 ni kweli kila mtu ataenda kwa matendo yake lakini ni wakati wa kujiuliza maswali ya msingi.
.
Kama kanisa ni taasisi inayojitegemea, je, hii taasisi inaongozwa na Mungu wa kweli? Kwenye Neno lake (Biblia) akemee ushoga halafu kwenye mafundisho ya kanisa auruhusu? Inakuwaje Mungu ajipinge?
.
Mawili, hawa sio watumishi wa Mungu wa kweli ama kanisa linaongozwa na taratibu za mungu mwingine.
 
Ufunuo 18:4 Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake. 5Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amekumbuka maovu yake.
Tukiambiwa tutoke huko long time
 
Sikubaliani na kanisa kuhalalisha dhambi badala ya kukema dhambi.
Kuanzia leo mimi si Mkatoliki tena, ninamkataa shetani na kazi zake zote.

Wasinizike wala kunipa huduma zozote wanazodhani ni za kiroho.

Sitahamia kanisa lolote, bali nitaendelea kumuabudu Mungu katika roho na kweli

Waefeso 5:11-17
[11]Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee;
And have no fellowship with the unfruitful works of darkness, but rather reprove them.
[12]kwa kuwa yanayotendeka kwao kwa siri, ni aibu hata kuyanena.
For it is a shame even to speak of those things which are done of them in secret.
[13]Lakini yote yaliyokemewa hudhihirishwa na nuru maana kila kilichodhihirika ni nuru.
But all things that are reproved are made manifest by the light: for whatsoever doth make manifest is light.
[14]Hivyo husema,
Amka, wewe usinziaye,
Ufufuke katika wafu,
Na Kristo atakuangaza.

Wherefore he saith, Awake thou that sleepest, and arise from the dead, and Christ shall give thee light.
[15]Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima;
See then that ye walk circumspectly, not as fools, but as wise,
[16]mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.
Redeeming the time, because the days are evil.
[17]Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana.
Wherefore be ye not unwise, but understanding what the will of the Lord is.
Even satan himself is not a gay, he approached naked Eve instead of naked Adam!!
By Robert Mugabe
 
Huyo ndo nabii WA uongo atakayekuwa pembeni ya MPINGA KRISTO. Now wanajionyesha rangi halisi sababu muda umefika hawatajificha tena. But kinashisikitisha ni kuwa bado watu wako usingizini
 
Papa ajiuzulu sasa anazeeka vibaya
Ishu sio papa hayo ni maamuzi ya kanisa. Hata Akija lukomba WA kisese akawa papa nae ataamua the same. Shetani ameamua kutojificha now maana ni kama 90 % tunemkubali na hii ni stater tu 2024 ndio balaa
 
Nadhani wengi mmeshindwa muelewa Papa. Hajabariki ndoa za jinsia Moja, bali wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja, wanayo haki ya kupata baraka kama walivyo wadhambi wengi wengine wowote-wezi, mafisadi n.k.
.
Tufikiri kwa sauti, wewe kama kiongozi wa kanisa unaruhusu mapadri wako watoe baraka kwa mashoga na wasagaji huku ukisema sio msimamo wa kanisa. Kweli?! Inashangaza sana. The fact that kanisa linahusishwa na mambo haya, it's already a shame !
.
Ukweli mchungu kwa wakatoliki: haya mambo ya ndoa za jinsia moja yatakuja kuruhusiwa moja kwa moja, hizi sarakasi za mwanzoni zinachezwa kupima upepo.
 
Sikubaliani na kanisa kuhalalisha dhambi badala ya kukema dhambi.
Kuanzia leo mimi si Mkatoliki tena, ninamkataa shetani na kazi zake zote.

Wasinizike wala kunipa huduma zozote wanazodhani ni za kiroho.

Sitahamia kanisa lolote, bali nitaendelea kumuabudu Mungu katika roho na kweli

Waefeso 5:11-17
[11]Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee;
And have no fellowship with the unfruitful works of darkness, but rather reprove them.
[12]kwa kuwa yanayotendeka kwao kwa siri, ni aibu hata kuyanena.
For it is a shame even to speak of those things which are done of them in secret.
[13]Lakini yote yaliyokemewa hudhihirishwa na nuru maana kila kilichodhihirika ni nuru.
But all things that are reproved are made manifest by the light: for whatsoever doth make manifest is light.
[14]Hivyo husema,
Amka, wewe usinziaye,
Ufufuke katika wafu,
Na Kristo atakuangaza.

Wherefore he saith, Awake thou that sleepest, and arise from the dead, and Christ shall give thee light.
[15]Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima;
See then that ye walk circumspectly, not as fools, but as wise,
[16]mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.
Redeeming the time, because the days are evil.
[17]Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana.
Wherefore be ye not unwise, but understanding what the will of the Lord is.
Unawasikiliza BBC🤣🤣Ungesomwa Waraka parokiani mwako hapo sawa.Mungu Baba akuongezee imani🙏🏽
 
.
Mkuu Leejay49 ni kweli kila mtu ataenda kwa matendo yake lakini ni wakati wa kujiuliza maswali ya msingi.
.
Kama kanisa ni taasisi inayojitegemea, je, hii taasisi inaongozwa na Mungu wa kweli? Kwenye Neno lake (Biblia) akemee ushoga halafu kwenye mafundisho ya kanisa auruhusu? Inakuwaje Mungu ajipinge?
.
Mawili, hawa sio watumishi wa Mungu wa kweli ama kanisa linaongozwa na taratibu za mungu mwingine.
Uzuri ni kwamba unamtambua Mungu wa kweli ni yupi.. Hawa watumishi nao ni wanadamu na Wana hulka za kiubinadamu Kama tulivyo Mimi na wewe,, tunatakiwa tu kuishi maisha ya kumpendeza Mungu maana tukisema tuhame makanisa tunaweza tukazunguka hadi tunakufa bila la maana ambalo tumepata
 
Ishu sio papa hayo ni maamuzi ya kanisa. Hata Akija lukomba WA kisese akawa papa nae ataamua the same. Shetani ameamua kutojificha now maana ni kama 90 % tunemkubali na hii ni stater tu 2024 ndio balaa
Hii ni fake news! Kanisa katoliki lina njia zake za kusambaza habari na maamuzi yake! Why not CNN , Why always ni BBC?? Catholic will prevail always
 
.
Tufikiri kwa sauti, wewe kama kiongozi wa kanisa unaruhusu mapadri wako watoe baraka kwa mashoga na wasagaji huku ukisema sio msimamo wa kanisa. Kweli?! Inashangaza sana. The fact that kanisa linahusishwa na mambo haya, it's already a shame !
.
Ukweli mchungu kwa wakatoliki: haya mambo ya ndoa za jinsia moja yatakuja kuruhusiwa moja kwa moja, hizi sarakasi za mwanzoni zinachezwa kupima upepo.
It is fake news 😁😁sio kweli na aitotokea
 
Uzuri ni kwamba unamtambua Mungu wa kweli ni yupi.. Hawa watumishi nao ni wanadamu na Wana hulka za kiubinadamu Kama tulivyo Mimi na wewe,, tunatakiwa tu kuishi maisha ya kumpendeza Mungu maana tukisema tuhame makanisa tunaweza tukazunguka hadi tunakufa bila la maana ambalo tumepata
.
Uko sahihi na bahati nzuri wewe umejitambua lakini shida ni kwamba mafundisho ya uongo yataangamiza wengine. Imagine mtu fulani ni shoga au msagaji, badala ya kuacha njia zake mbaya anaweza kuwaza kwamba kwa vile kanisa limebariki haya mambo, basi sio kosa kumbe anapotea!
 
Inafikirisha na kuhuzunisha pia, na mbaya zaidi hatuna namna ya kufanya kuwabadilisha ambao washapotea dhambini.. Kikubwa ni kumwomba Mungu atuepusha na huu mtego tu maana yajayo yanaogopesha
 
Back
Top Bottom