Kuanzia leo mimi sio Mkatoliki tena, wala kanisa lisinizike, liendee na ushoga wake

Umetoa taarifa likini kwenye uongozi wa kanisa?
 
Nliachana na mambo za ukatoliki toka niko kidato cha pili. Kuna mambo mengi hayamake sense.
Mzee wangu alihisi tu huyu kijana anatukimbia lakini hakuwahi pata uthibitisho.
Actually, mimi siamini katika mambo ya makanisa
Una amini katika nn?
 
Mbaya sana kwa mustakabali mpana wa maadili kwa watoto na vijana wanaolelewa katika imani husika. Inaleta picha mbaya sana kwa kweli. Ni kinyaa. Hawa mapapa Wazingu na uongozi wote wa hii kanisa ambao ni Wazungu watupu huwa wana impose value systems zao za kizungu kwa Waumini wao kwa lazima. Kuzikwa na Katekista imekuwa nongwa kwenye hili kanisa.
 
Wewe mvuta bangi lini ulikuwa mkatoliki? Tuanzie hapa kwanza. Unazifahamu hata sakramenti za Kanisa kweli wewe?
 
Utashukiwa kama mwewe na wenye kanisa lao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…