Kuanzia leo mimi sio Mkatoliki tena, wala kanisa lisinizike, liendee na ushoga wake

Nliachana na mambo za ukatoliki toka niko kidato cha pili. Kuna mambo mengi hayamake sense.
Mzee wangu alihisi tu huyu kijana anatukimbia lakini hakuwahi pata uthibitisho.
Actually, mimi siamini katika mambo ya makanisa
 
Kwann wasaidizi wake wanaruhusu haya lakini?
Kwani Mungu haoni? Alimruhusu shetani awepo ili atukomaze mafuzu tuchague njia sahihi ya kuenenda’ no sweet without sweat..

njia iendayo uzimani/ mbinguni tumefundishwa ni nyembamba sana.. haina urahisi wa kuifikia pasipo kujikana haswaaa.. katika concept hiyo naamini ni jaribu tu hilo huko Vatican linawakuta, as wameruhusu shetani awazidi speed basi kila mmoja atabeba Msalaba wake.
 
Kama hakuna mkatoliki mjinga mbona babu karuhusu ujinga,ushenzi,ufirauni,uhamas,uisrael bila kusahau usodoma kwanza mngejua miongoni wa wanaoharibu watot wetu pakubwa ni mapadre na mabraza ungenyamaza hapa.
Umeandika ujinga mtupu, umeshawahi kusikia majambazi, wezi, mafisadi, waongo n.k wakitengwa na kanisa? Jambazi anaweza kwenda kuzungumza na kuomba toba na baraka kwa Padre. Kwanini isiwe hao wa jinsia moja?
 
Mkuu siungi mkono wala kukubaliana na habari ya ushoga, ila twende kwenye uhalisia, hatuombei iwe hivyo na Mungu aepushilie mbali lakini ndio tuseme imetokea mwanao amekuwa shoga, utatumia approach gani kuliendea swala hili!

Mkuu hii changamoto ya ushoga ni kama ilivyo kuwa janga la Ukimwi miaka ya 90. Ukimwi sasa hivi sio habari ya kutisha kama mwanzo! Tuwe na Akiba ya maneno!
 
After all matendo ya mtu binafsi ndo yata-justify aelekee motoni au mbinguni, kama kweli vipo hivyo vitu lakini....Wacha niendelee kusali jumuiya na kupokea sakramenti hadi vitokee vinavyotaka kutokea ikiwezekana hadi mpaka kifo😇😇
 
Kwahiyo watu watazoea tu wasiogope sio 😂😂😂
 
Tulia kwanza kwenye kanisa katoliki hauna umuhimu wowote you free to go
 
Kuna dhahamana gani,Huko
 
Jemima tuanzishe fellowship tuukomboe wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…