Ni bora akina Msukuma na Kishimba 100 pale bungeni kuliko maprofessor 5000 kama Manyele hapa nchini.
Elimu zao hazisaidii nchi...
Ng'ombe kutoa kinyesi cha kg25 kwa wakati mmoja na mkojo lita 20 ni kioja kingine kwa taifa.
Huyu jamaa TAKURURU kwa nchi zinazojielewa wangekuwa washaanza kumchunguza.
Yawezekana kapewa kitu kidogo ili kupindisha ukweli
Uliona wapi kamati 2 zote zinachunguza kitu kimoja na zikatofautiana kiuhalisia kwa mbali, kuna Kamati ya Bonde la Ziwa Victoria na hii ya Manyele.
Kamati ya Ziwa Victoria imeeleza uhalisia, hii ya professor uchwara ni ushuzi mtupu.