Deshbhakt
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 403
- 204
Haya 'mafuta na grease' yanatokea wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya 'mafuta na grease' yanatokea wapi?
Kwa ng'ombe kama pure fresian ni sawa wanaweza kutoa sababu wanao uhakika wakula vizuri na kibaya zaidi hawapo kama wapo ni wachache sana ila hawa ng'ombe wetu wa kishenzi wanaokula udongo hawana uwezo wakunya ata kilo tano.Hizi ni habari nyingi kwa wakati mmoja..
Yaani unataka kufuata wanasiasa katika mambo ya elimu ? Kwanini usifuate knowledge na wewe kuchanganya na zako ?
Kwamba Prof kala Mlungula ? Probably kwa hii nchi jambo kama hilo sio geni watu wanakula kwa urefu wa kamba zao..
Kwamba ngombe anaweza kutoa kinyesi cha kgs hizo kwa siku ? Jibu ni ndio
Manager wa bank analipwa mil 18 kwa hiyo ... aisee kweli .... NI USIKU WA GIZAUmasikini, Profesa analipwa mshahara wa mil 6 kwa mwezi. Manager tu wa Bank analipwa mara 3 ya huo mshahara
Watu wengi kwa kutoelewa wanadhani inapotamkwa kilo 25 za kinyesi wanataka kila ng'ombe awe na rundo lake sehemu moja.Ng'ombe aliyekomaa anakula kilo 45+/- kwa siku ... kutoa kinyesi Cha kilo 25 ni kitu kinachotegenewa,.... Binadamu anatoa wastani wa kilo 0.25,.. kitu Cha kustusha ni kwamba ng'ombe wa huko wanakunya na kukojoa mtoni tu Kisha wanaendelea na mambo mengine sehemu nyingine!
.... ha ha ha! Kiongozi umefafanua in a very simple language. Mifugo yetu ni biological weapons; dah! Very interesting.Kwa ufupi kamati ya huyo profesa inataka kutueleza kwamba mifugo waliopo kando ya mto huo wanatembea na kuishi na silaha za maangamizi(biological weapons) matumboni mwao.Takataka sana.
Swali la kwanza umejibu vizuri...Hizi ni habari nyingi kwa wakati mmoja..
Yaani unataka kufuata wanasiasa katika mambo ya elimu ? Kwanini usifuate knowledge na wewe kuchanganya na zako ?
Kwamba Prof kala Mlungula ? Probably kwa hii nchi jambo kama hilo sio geni watu wanakula kwa urefu wa kamba zao..
Kwamba ngombe anaweza kutoa kinyesi cha kgs hizo kwa siku ? Jibu ni ndio
Yaani wanakunya na kujitawaza mtoni mpaka samaki wanakufa, na je miaka yote walikuwa hawanyi na kukojoa mtoni?Ng'ombe aliyekomaa anakula kilo 45+/- kwa siku ... kutoa kinyesi Cha kilo 25 ni kitu kinachotegenewa,.... Binadamu anatoa wastani wa kilo 0.25,.. kitu Cha kustusha ni kwamba ng'ombe wa huko wanakunya na kukojoa mtoni tu Kisha wanaendelea na mambo mengine sehemu nyingine!
Ona huyu nae...fact gani umeongea hapa zaidi ya kumsifia. Pimbi katika ubora wakoMnabishana Kwa msichokijua bora kati yenu angekuwepo anaejua awaeleweshe tutafute Fact tusianze ku Attack Personality na Kudharirisha ,Kudharau Taaluma za Watu..My Side Prof Manyele namfaham Vizuri ni mtu ambae hana ubabaishaji na hua hataki kuyumbishwa kwenye Taaluma yake Kwa kile alichokifanyia kazi ndio maana Hata Mwenda zake Alimtoa kwenye Cheo cha Ukemia sababu Prof hakutaka kubambikia watu kesi kwa kutumia taaluma yake Anafundisha Vyuo kadhaa Nchini Canada 🇨🇦,ana Kampuni yake binafs ya Kuteketeza taka ngumu na lain Na zinafatenda kubwa mpaka Dubai ndo aje kushindwa kutoa Report ya Mto Mara?!ebu kuweni serious
Anguko la maprofesa wa mchongoHii ni aibu kwa maprofesa tena
Tanzania inapitia misukosuko mingi sana kiongozi - mengine ya ya kuguna tu kwa kutumia pua ili siku siende.Ni bora akina msukuma na kishimba 100 pale bungeni kuliko maprofessor 5000 kama manyele hapa nchini.
Elimu zao hazisaidii nchi...
Ng'ombe kutoa kinyesi cha kg25 kwa wakati mmoja na mkojo lita 20 ni kioja kingine kwa taifa.
Huyu jamaa TAKURURU kwa nchi zinazojielewa wangekuwa washaanza kumchunguza.
Yawezekana kapewa kitu kidogo ili kupindisha ukweli
Uliona wapi kamati 2 zote zinachunguza kitu kimoja na zikatofautiana kiuhalisia kwa mbali, kuna kamati ya bonde la ziwa Victoria na hii ya Manyele.
Kamati ya ziwa Victoria imeeleza uhalisia, hii ya professor uchwara ni ushuzi mtupu
Its all about quantity wakinya sana / mbolea ikiwa nyingi algae wanaongezeka wakiongezeka sana (algae usiku / bila photosynthesis wanatumia oxygen) hivyo dissolved oxygen ikipungua samaki wanakufa...Swali la kwanza umejibu vizuri...
Swali la pili. Je ng'ombe wakinya mtoni samaki wanakufwaa?