Yaani inasikitishaHalafu alikuwa mkemia mkuu wa serikali yenu
Hii ni aibu kwa maprofesa tenaYaani inasikitisha
Seriously?Halafu alikuwa mkemia mkuu wa serikali yenu
Ng'ombe aliyekomaa anakula kilo 45+/- kwa siku ... kutoa kinyesi Cha kilo 25 ni kitu kinachotegenewa,.... Binadamu anatoa wastani wa kilo 0.25,.. kitu Cha kustusha ni kwamba ng'ombe wa huko wanakunya na kukojoa mtoni tu Kisha wanaendelea na mambo mengine sehemu nyingine!Ni bora akina msukuma na kishimba 100 pale bungeni kuliko maprofessor 5000 kama manyele hapa nchini.
Elimu zao hazisaidii nchi...
Ng'ombe kutoa kinyesi cha kg25 kwa wakati mmoja na mkojo lita 20 ni kioja kingine kwa taifa.
Huyu jamaa TAKURURU kwa nchi zinazojielewa wangekuwa washaanza kumchunguza.
Yawezekana kapewa kitu kidogo ili kupindisha ukweli
Uliona wapi kamati 2 zote zinachunguza kitu kimoja na zikatofautiana kiuhalisia kwa mbali, kuna kamati ya bonde la ziwa Victoria na hii ya Manyele.
Kamati ya ziwa Victoria imeeleza uhalisia, hii ya professor uchwara ni ushuzi mtupu
DuhHizi ni habari nyingi kwa wakati mmoja..
Yaani unataka kufuata wanasiasa katika mambo ya elimu ? Kwanini usifuate knowledge na wewe kuchanganya na zako ?
Kwamba Prof kala Mlungula ? Probably kwa hii nchi jambo kama hilo sio geni watu wanakula kwa urefu wa kamba zao..
Kwamba ngombe anaweza kutoa kinyesi cha kgs hizo kwa siku ? Jibu ni ndio
HaaaaaaNg'ombe aliyekomaa anakula kilo 45+/- kwa siku ... kutoa kinyesi Cha kilo 25 ni kitu kinachotegenewa,.... Binadamu anatoa wastani wa kilo 0.25,.. kitu Cha kustusha ni kwamba ng'ombe wa huko wanakunya na kukojoa mtoni tu Kisha wanaendelea na mambo mengine sehemu nyingine!
na hiki ndio kipengele ambacho nimeshangaa, ina maana ng'ombe wanakunya mtoni tu? au hawaendi kuchungwa mahala pengine? dah anywaysNg'ombe aliyekomaa anakula kilo 45+/- kwa siku ... kutoa kinyesi Cha kilo 25 ni kitu kinachotegenewa,.... Binadamu anatoa wastani wa kilo 0.25,.. kitu Cha kustusha ni kwamba ng'ombe wa huko wanakunya na kukojoa mtoni tu Kisha wanaendelea na mambo mengine sehemu nyingine!
Umasikini, Profesa analipwa mshahara wa mil 6 kwa mwezi. Manager tu wa Bank analipwa mara 3 ya huo mshaharaMaprofesa ni vilaza wenye vyeti
Nadhani hii si point kulingana na scandal iliyoshika hatamu.Kwamba ngombe anaweza kutoa kinyesi cha kgs hizo kwa siku ? Jibu ni ndio
Kwa upupu wa Jana Musukuma ni Dokta wa kweli.Ni bora akina msukuma na kishimba 100 pale bungeni kuliko maprofessor 5000 kama manyele hapa nchini.