Kuanzia leo nimeacha kuchepuka

Umekuwa mkubwa sasa... hongera coz you're not a boy anymore.
 
Ahsantee kwa taarifa, tafadhali badilisha na jina kwasasa usomeke kama ZIPU NZIMA
 
 
Ukishaonja nyama ya mtu huwezi kuacha
 
Sio pesa na wewe.
Kisukari kikiingia, maana MTU unakwenda kujidhalilisha tu, roho inataka Vita askari hataki, kumuamsha shughuli na akiamka dakika tatu amerudi usingizini. Halafu unajua kisukari kikiingia hakitoki.
Hujaacha sema ndo vile roho ipo radhi lakini mwili ni dhaifu
 
Natamani na mimi kukufuata kwenye hatua hiyo ila tatizo ni ubabe na ubishi wa mke wangu unanisukumia njia za pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…