The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Tengeneza Zipu yako kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima tu kamfuma mchepuko yuko na mchepuko wake.....kutmbewa inaumaEmbu dadavua mkuu nini kimekukuta hasa?😂
Umekuwa mkubwa sasa... hongera coz you're not a boy anymore.Habari zenu wakuu.
Leo nimetafakari sana juu ya maisha yangu na michepuko.
Nimekuwa na tabia ya kuchepuka kwa muda mrefu sana na hatimaye nimefika tamati ya huu ujinga
Nimegundua hakuna faida yoyote ninayo ipata zaidi ya kupata hasara ya kuhusumia jitu lisilo na faida yoyote kwangu
Pia nimegundua kuchepuka kunaniweka mbali na MUNGU kwasababu mara nyingi nikitoka kuzini naona aibu hata kufanya sala yoyote
Kwaherini michepuko narudi kwa mke wangu mazima.
Ahsantee kwa taarifa, tafadhali badilisha na jina kwasasa usomeke kama ZIPU NZIMAHabari zenu wakuu.
Leo nimetafakari sana juu ya maisha yangu na michepuko.
Nimekuwa na tabia ya kuchepuka kwa muda mrefu sana na hatimaye nimefika tamati ya huu ujinga
Nimegundua hakuna faida yoyote ninayo ipata zaidi ya kupata hasara ya kuhusumia jitu lisilo na faida yoyote kwangu
Pia nimegundua kuchepuka kunaniweka mbali na MUNGU kwasababu mara nyingi nikitoka kuzini naona aibu hata kufanya sala yoyote
Kwaherini michepuko narudi kwa mke wangu mazima.
Habari zenu wakuu.

Zipu ?Ahsantee kwa taarifa, tafadhali badilisha na jina kwasasa usomeke kama ZIPU NZIMA
Hujaona jina la mtoa madaZipu ?
Ukishaonja nyama ya mtu huwezi kuachaHabari zenu wakuu.
Leo nimetafakari sana juu ya maisha yangu na michepuko.
Nimekuwa na tabia ya kuchepuka kwa muda mrefu sana na hatimaye nimefika tamati ya huu ujinga
Nimegundua hakuna faida yoyote ninayo ipata zaidi ya kupata hasara ya kuhusumia jitu lisilo na faida yoyote kwangu
Pia nimegundua kuchepuka kunaniweka mbali na MUNGU kwasababu mara nyingi nikitoka kuzini naona aibu hata kufanya sala yoyote
Kwaherini michepuko narudi kwa mke wangu mazima.
Akanunue nyingineHuj
Hujaona jina la mtoa mada
????Ukishaonja nyama ya mtu huwezi kuacha
Nini kufuli?Akanunue nyingine
Ipi ya nyuma ya mbele?Huj
Hujaona jina la mtoa mada
Hujaacha sema ndo vile roho ipo radhi lakini mwili ni dhaifuSio pesa na wewe.
Kisukari kikiingia, maana MTU unakwenda kujidhalilisha tu, roho inataka Vita askari hataki, kumuamsha shughuli na akiamka dakika tatu amerudi usingizini. Halafu unajua kisukari kikiingia hakitoki.