Kuanzia leo nimeacha kushabikia mpira wa Tanzania

Kwanini,mbeleko zimezidi mpirani au vp?
 
Hahaa
Tulia mamvo bado, yajayo yanafurahisha.
Kama watu wanaweza zima mpaka VAR, unaegemea nini.
 
Ushauri kwa Wanayanga na wapenzi wa timu zinazoonewa ili marefa wachezeshe mechi kwa haki waamuzi wa leo wavunjeni miguu.

MTAKUJA KUNISHUKURU BAADAE.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…