Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
😀😀Uko sahihi. NI scam kwa sababu wanaoendesha vilabu unaweza kuwaita scammers. Ni wajanja wanaotumia ujinga wa wabongo kutimiza malengo yao mengine. Mimi nilishajitoa huko zamani sana. Zamani ikiwa inacheza Yanga na Simba nilikuwa sikosi kabisa, lakini siku hizi hata bure siendi.