The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,698
- 17,114
Sawa Hamia Rs Berkane basi ndugu yanguNdugu zangu labda sjatoa sbb lakin,wakati naangalia mpira ulipoisha tu,nilitapka xna,sasa nikaona huenda ninashida😁😁,ndio maana nimejitoe kbx,ila mm sinatimu
Una shida ndiyo, mimba changa hiyo, wahi clinic uanze kuhudhuria vipimo.Ndugu zangu labda sjatoa sbb lakin,wakati naangalia mpira ulipoisha tu,nilitapka xna,sasa nikaona huenda ninashida😁😁,ndio maana nimejitoe kbx,ila mm sinatimu
Sasa Kadi ya Clinic itaandikwa jina la baba ni nani?Una shida ndiyo, mimba changa hiyo, wahi clinic uanze kuhudhuria vipimo.
😂😂😂😂😂😂
Kayombo. 😂😂😂😂😂Sasa Kadi ya Clinic itaandikwa jina la baba ni nani?
Mpanzu au Ateba
Kayombo. 😂😂😂😂😂
Umechelewa mno mkuu, mi niliacha mwaka juzi kuangalia mechi za Simba, huwa nacheki matokeo tu maana zinatia kinyaaMimi hapa napenda Hela,NIMEACHA KUSHABIKIA MPIRA wa Tanzania,hapa mnapo niona ndio mwisho,Rafki zangu wa vibanda umiza, najua hamtaniona Tena,
Nimejitoa Kwa hiari,naendapo nitashabikia mpira wa Tanzania mniite mmbwa,paka,nyani,ngedere,Axanteni xna
Aitwe Prof kabisaa. 😂😂😂😂Mpe heshima yake bwana anaitwa Dr.Kayombo
We jamaa ni wa hovyo Sana! Kwa hiyo uwa unaingalia Uto na magoli ya kununua? Mengine ya mkono kama lile na Baka? Mengine Mpira unachezwa nje ya uwanja na kina Pacome...umeamua kuwa zuzuUmechelewa mno mkuu, mi niliacha mwaka juzi kuangalia mechi za Simba, huwa nacheki matokeo tu maana zinatia kinyaa
Kuanzia Sasa Yanga hatuchezi na makolo kwa refa wa TFF bila hivyo hatutoboi, refa lazima atoke Kenya au BurundiWe jamaa ni wa hovyo Sana! Kwa hiyo uwa unaingalia Uto na magoli ya kununua? Mengine ya mkono kama lile na Baka? Mengine Mpira unachezwa nje ya uwanja na kina Pacome...umeamua kuwa zuzu
Bro get yourself updated, usipayuke! Yanga wameambiwa warudi TFF kupeleka malalamiko yao, CAS hawakujua kuwa hilo lilifanyika hivyo Yanga watarudi tena CAS kupeleka ushahidi kuwa bodi iliwapuuza , Ngoma bado mbichi!!Ulivyoanza kushabikia ulitutaarifu? Watu wa nyuma mwiko Wana maumivu Sana . Kule CAS wameangukia pua ,huku NBC walikuja na 100M Kwa mgongo wa MASHUJAA kimewalamba
Ulitaka Mashujaa ashinde aende wap?Mimi hapa napenda Hela,NIMEACHA KUSHABIKIA MPIRA wa Tanzania,hapa mnapo niona ndio mwisho,Rafki zangu wa vibanda umiza, najua hamtaniona Tena,
Nimejitoa Kwa hiari,naendapo nitashabikia mpira wa Tanzania mniite mmbwa,paka,nyani,ngedere,Axanteni xna
Nipo njian kurudi chama langu damdam la 💙 nalipia dstv yangu msim ujao, hii ligi ya kihun sana yanMimi hapa napenda Hela,NIMEACHA KUSHABIKIA MPIRA wa Tanzania,hapa mnapo niona ndio mwisho,Rafki zangu wa vibanda umiza, najua hamtaniona Tena,
Nimejitoa Kwa hiari,naendapo nitashabikia mpira wa Tanzania mniite mmbwa,paka,nyani,ngedere,Axanteni xna
Uko sahihi. NI scam kwa sababu wanaoendesha vilabu unaweza kuwaita scammers. Ni wajanja wanaotumia ujinga wa wabongo kutimiza malengo yao mengine. Mimi nilishajitoa huko zamani sana. Zamani ikiwa inacheza Yanga na Simba nilikuwa sikosi kabisa, lakini siku hizi hata bure siendi.Mpira wa Bongo ni Scam.
Acha hata kula. Ubaya ubwela, mkiacha kuinunua management ya team husika plus makipa, tunaacha kununua ma refa.Mimi hapa napenda Hela,NIMEACHA KUSHABIKIA MPIRA wa Tanzania,hapa mnapo niona ndio mwisho,Rafki zangu wa vibanda umiza, najua hamtaniona Tena,
Nimejitoa Kwa hiari,naendapo nitashabikia mpira wa Tanzania mniite mmbwa,paka,nyani,ngedere,Axanteni xna