Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
ππUko sahihi. NI scam kwa sababu wanaoendesha vilabu unaweza kuwaita scammers. Ni wajanja wanaotumia ujinga wa wabongo kutimiza malengo yao mengine. Mimi nilishajitoa huko zamani sana. Zamani ikiwa inacheza Yanga na Simba nilikuwa sikosi kabisa, lakini siku hizi hata bure siendi.
Hutaathiri chochote kila la heri.Mimi hapa napenda Hela,NIMEACHA KUSHABIKIA MPIRA wa Tanzania,hapa mnapo niona ndio mwisho,Rafki zangu wa vibanda umiza, najua hamtaniona Tena,
Nimejitoa Kwa hiari,naendapo nitashabikia mpira wa Tanzania mniite mmbwa,paka,nyani,ngedere,Axanteni xna