THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Walah najiapiza siku hio nitajulikana..
Kama kweli uongozi unatoka kwa Mungu inawezekanaje yule mtu ambae..Mungu aliwaidhinisha wote akawapa kibali cha kuongoza leo analazimishwa kujiondoa!!
How comes!!
How is that possible??
AU kibali cha uongozi Mungu ambacho hua anatoa ni kwa Rais tu?
Kama ni kwa Rais basi asingekuepo mugombea mwenza angekua only yeye then ndie aje amteue Makam...
ila kama wote mnapigiwa kura it means Mungu anatoa kibali kwa wote yawezekana wewe akaona una Mapungufu wewe Rais ila kupita Makam wako alie bora na msafi mbele zake akawapa kibali akijua huyu Msafi atakusaidia katika usafi.