"Wanaweka wafalme bila idhini yangu, wamechagua wakuu bila kibali changu..."
Hosea.8.4.NENO
"akasema: “Lihimidiwe jina la Mungu milele na milele; hekima na uweza ni vyake.
Yeye hubadili nyakati na majira; huwaweka wafalme na kuwaondoa."
Daniel.2.20-21.NENO
Mungu karuhusu mfanye mnavyotaka, kama ambavyo unafanya uzinzi / uasherati kakuacha, mwingine anaua kwa ajili ya pesa / madaraka kaachwa.
Hakuna aliyepewa kibali hapo.
Madhara yakatakoyotokana na maamuzi yenu hajayasababisha Mungu wetu.
Ataingilia kati yeye atakapoona inafaa.