Kuanzia Leo Septemba 29 boda boda na bajaji wasiofuata sheria kubanwa na Polisi

Kuanzia Leo Septemba 29 boda boda na bajaji wasiofuata sheria kubanwa na Polisi

Asilimia kubwa ya boda hawana leseni,mtu anajifunza pikipiki mtaani leo
Kesho anataka kuingia road
In short kwa miaka ya sahvi hakuna madereva kuanzia hao boda,waendesha magari ya kawaida mimi wote nawawekaga kundi moja
Serikali ilikosea tokea mwanzo waliporuhusu bodaboda kuingia kuingia kwa wingi walitakiwa kipindi kilekile wawabane,wawatungie sheria nk
Mfano boda zilianzia Uganda kabla ya kuja tz,ila zamani pikipiki zilikuwepo zile Honda vidogo vilikuwa maarufu sana tanga ajali zilikuwa hakuna
Ila baada ya boda kuingia na mtu kununua kama ananunua nguo mtumbani shuguli ndipo ilipoanzia
Sahv kuwanyoosha boda inataka msuli wa nguvu

Ova
Ni kweli mkuu ,bodaboda hawajui sheria zozote za barabarani inaonyesha kabisa hawajaenda class kusome na kupewa leseni.

Mimi naona Polisi wawakazie ,wasiwachekee wakivunja sheria ni kamata weka ndani miezi mitatu.

Nazikumbuka Honda zilikuwa nyekundu ,nyuma kiti chake kina kama pipe za aluminum ,vikaja Vespa.

Tatizo polisi wetu ni WALA rushwa sana na ndiyo maana ma ajali ni mENGI.

Jana kuna Dada huko CHAMAZI kakatika kichwa kwa ajali ya Bodaboda.

Nipo kwenye Group la Bodaboda yaani kila Siku wanakula MABUYU wanaacha NDALA.
 
Back
Top Bottom