Kuanzia Leo Septemba 29 boda boda na bajaji wasiofuata sheria kubanwa na Polisi

Ni kweli mkuu ,bodaboda hawajui sheria zozote za barabarani inaonyesha kabisa hawajaenda class kusome na kupewa leseni.

Mimi naona Polisi wawakazie ,wasiwachekee wakivunja sheria ni kamata weka ndani miezi mitatu.

Nazikumbuka Honda zilikuwa nyekundu ,nyuma kiti chake kina kama pipe za aluminum ,vikaja Vespa.

Tatizo polisi wetu ni WALA rushwa sana na ndiyo maana ma ajali ni mENGI.

Jana kuna Dada huko CHAMAZI kakatika kichwa kwa ajali ya Bodaboda.

Nipo kwenye Group la Bodaboda yaani kila Siku wanakula MABUYU wanaacha NDALA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…