Kuanzia leo, SIMBA iachane na msemo wake "THIS IS SIMBA" ulioasisiwa na Manara

Kuanzia leo, SIMBA iachane na msemo wake "THIS IS SIMBA" ulioasisiwa na Manara

IMG_4117.jpg

IMG_4116.jpg
 
Kauli mbiu hufa kama ilivyokuwa "hapa kazi tu" ambayo kwa sasa ni kama tu haipo tena.
 
Yupo. Anakuja Mwinjaku. Ulimwengu haukuwahi kusimama hata walipokufa mitume.
Simba will soldier on.
Twende mbele turudi nyuma, ukweli Manara alijua kuwapa mashabiki raha nyieee[emoji119][emoji119][emoji119] sio wa kufiti hapo aisee ukweli tuseme tu
 
Back
Top Bottom