Kuanzia mwaka 2040 arusha itakuwa na wazee wengi wa hovyo

Kuanzia mwaka 2040 arusha itakuwa na wazee wengi wa hovyo

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Kimsingi Ata sisi tumepitia ujana kwenda club, fashion za kisela, kutoka na wachumba tofauti, kudag, kula bitches nk
Lakini si huu usela wa hawa vijana wa arusha.

Asee watoto wanaozaliwa miaka hii huko arusha Dah si utakuaje nilikua nawaheshimu sana watu wa uchagani Ila kuna dizaini credit zimepungua
 
Back
Top Bottom