Haina tofauti na madelu kuweka tozo kwenye gesi asilia ili kuweka usawa na watumiaji wa magari wanaojaza petroli utafikiri kuna mtu kalazimishwa ajaze petroli...Tuct
Tucta wanahusika vipi na kupanga tarehe za kulipwa mishahara ya watu?
Hiyo sababu waliyoitoa mbona haina mantiki?
Something is fishing here.
Wakichelewa walipe interestKwanini wasitoe 30!????
Taarifa kutoka TUCTA
Ndugu wafanyakazi napenda kuwataarifu kwamba kuanzia mwezi huu mishahara itakua ikitoka tarehe za mwisho wa mwezi yaani tarehe 28-30. Lengo la kufanya hivyo ni kuondoa gap lililopo kati ya tarehe za mishahara wa sektabinafsi na sekta za Umma. Mwenyekiti wa TUCTA kasema hayo leo wakati akipongeza kuongezeka kwa asilimia ya Kikokotoo kutoka asilimia 33 mpaka 40.
We Mnyia wa Igamba punguza Uchawa wa hivyoAcheni kulia lia na kudeka hapa.leo tarehe ngapi?
Sasa great thinker si ndo wewe hapo umeuliza ndg, au unataka muwe magreat thinker wangapi??Mwenyekiti wa tucta nani ? Aliyisema akiwa wapi ? Clip iko wapi ? Au post yoyote ile iko wapi ? Ina maana hakuna mtu aliyeuliza maswali kama hayo kweli jf siku hizi hakuna great thinkers.
Umenena VYEMA.Walaaaa sijakaa kinyonge mie, hata mshahara ukitoka tarehe 32 bado nitapumua, kuweka macho yote mikono yote na miguu yote kwenye salary pekee ni hatari.
SIDE HUSTLE ili ikusaidie kuacha kazi au kuja kuona kazi ujinga...!!!Kukopa ni temporary solution, inabidi kuwa na permanent solution, ongeza kipato nje ya salary
Kwa nini wasitoe 20 ?Kwanini wasitoe 30!????
Wewe kama hesabu nyepesi tu huiwezi, hauna sababu ya kujiingiza kwenye mjadala. Tarehe 23/05/2024 hadi 23/06/2024 sio mwezi mmoja kamili? Tarehe 23/05/2024 hadi 30/06/2024 sio siku 37 ?Acheni kulia lia na kudeka hapa.leo tarehe ngapi?
Kwa nini serikali haisomi bajeti mwezi wa 12 badala yake inaisoma mwezi wa sita?Acheni kulia lia na kudeka hapa.leo tarehe ngapi?
Hili tangazo kama ni la kweli,lilitakiwa litolewe na mwajiri na sio chama muungano wa chama cha wafanyakazi.Taarifa kutoka TUCTA
Ndugu wafanyakazi napenda kuwataarifu kwamba kuanzia mwezi huu mishahara itakua ikitoka tarehe za mwisho wa mwezi yaani tarehe 28-30. Lengo la kufanya hivyo ni kuondoa gap lililopo kati ya tarehe za mishahara wa sektabinafsi na sekta za Umma. Mwenyekiti wa TUCTA kasema hayo leo wakati akipongeza kuongezeka kwa asilimia ya Kikokotoo kutoka asilimia 33 mpaka 40.
itondoo, nchi za afrika ni mbulula sana, hivi ukipewa mshahara tarehe 20 na mwezi unaofuata ukapewa tarehe 20 si ndi gepu la mwezi mmoja yaani siku 30?Taarifa kutoka TUCTA
Ndugu wafanyakazi napenda kuwataarifu kwamba kuanzia mwezi huu mishahara itakua ikitoka tarehe za mwisho wa mwezi yaani tarehe 28-30. Lengo la kufanya hivyo ni kuondoa gap lililopo kati ya tarehe za mishahara wa sektabinafsi na sekta za Umma. Mwenyekiti wa TUCTA kasema hayo leo wakati akipongeza kuongezeka kwa asilimia ya Kikokotoo kutoka asilimia 33 mpaka 40.
Tena bladifacken kabisapumbavu tucta