Kuanzia mwezi huu, June 2024 mishahara ya watumishi wa umma itakuwa inalipwa Kati ya tarehe 28 - 30

Kuanzia mwezi huu, June 2024 mishahara ya watumishi wa umma itakuwa inalipwa Kati ya tarehe 28 - 30

Tuct
Tucta wanahusika vipi na kupanga tarehe za kulipwa mishahara ya watu?
Hiyo sababu waliyoitoa mbona haina mantiki?
Something is fishing here.
Haina tofauti na madelu kuweka tozo kwenye gesi asilia ili kuweka usawa na watumiaji wa magari wanaojaza petroli utafikiri kuna mtu kalazimishwa ajaze petroli...

Watu wanahangaika kutafuta namna ya kujinasua na gharama zisizohimilika za nishati ya mafuta, wanatembea na mitungi mizito ya gesi na kuteseka kupanga foleni ndefu mtu anakuja kirahisi rahisi tu kuweka tozo, au haya ndo madhara ya uchumi wa kusomea pale jalalani..
 
Taarifa kutoka TUCTA

Ndugu wafanyakazi napenda kuwataarifu kwamba kuanzia mwezi huu mishahara itakua ikitoka tarehe za mwisho wa mwezi yaani tarehe 28-30. Lengo la kufanya hivyo ni kuondoa gap lililopo kati ya tarehe za mishahara wa sektabinafsi na sekta za Umma. Mwenyekiti wa TUCTA kasema hayo leo wakati akipongeza kuongezeka kwa asilimia ya Kikokotoo kutoka asilimia 33 mpaka 40.

Huyo mwenyekiti anajua kuwa formula ya kikokotoo imebadilia kutoka 1/540 kwenda 1/580?
Pamoja na kuwa, wanaojua tumepigwa ni wale waliofaulu hesabu
 
Kuna uzi unatembea una heading hiyo naomba kujua kama ni kweli au laa!?
 
Mwenyekiti wa tucta nani ? Aliyisema akiwa wapi ? Clip iko wapi ? Au post yoyote ile iko wapi ? Ina maana hakuna mtu aliyeuliza maswali kama hayo kweli jf siku hizi hakuna great thinkers.
Sasa great thinker si ndo wewe hapo umeuliza ndg, au unataka muwe magreat thinker wangapi??
 
Taarifa kutoka TUCTA

Ndugu wafanyakazi napenda kuwataarifu kwamba kuanzia mwezi huu mishahara itakua ikitoka tarehe za mwisho wa mwezi yaani tarehe 28-30. Lengo la kufanya hivyo ni kuondoa gap lililopo kati ya tarehe za mishahara wa sektabinafsi na sekta za Umma. Mwenyekiti wa TUCTA kasema hayo leo wakati akipongeza kuongezeka kwa asilimia ya Kikokotoo kutoka asilimia 33 mpaka 40.
Hili tangazo kama ni la kweli,lilitakiwa litolewe na mwajiri na sio chama muungano wa chama cha wafanyakazi.
Na lilitakiwa liwe official!!
 
Taarifa kutoka TUCTA

Ndugu wafanyakazi napenda kuwataarifu kwamba kuanzia mwezi huu mishahara itakua ikitoka tarehe za mwisho wa mwezi yaani tarehe 28-30. Lengo la kufanya hivyo ni kuondoa gap lililopo kati ya tarehe za mishahara wa sektabinafsi na sekta za Umma. Mwenyekiti wa TUCTA kasema hayo leo wakati akipongeza kuongezeka kwa asilimia ya Kikokotoo kutoka asilimia 33 mpaka 40.
itondoo, nchi za afrika ni mbulula sana, hivi ukipewa mshahara tarehe 20 na mwezi unaofuata ukapewa tarehe 20 si ndi gepu la mwezi mmoja yaani siku 30?

Ukilipwa tarehe 30 na mwezi unaofuata ukalipwa tarehe 30 si mwezi mmoja?
Watu wamesoma na wana vyeti eti wanadanganywa mishahara inawahi, kwani ikichelewa s bado ni ndani ya siku 30?

#Kataa Tozo za ovyo.
 
Back
Top Bottom