Haina tofauti na madelu kuweka tozo kwenye gesi asilia ili kuweka usawa na watumiaji wa magari wanaojaza petroli utafikiri kuna mtu kalazimishwa ajaze petroli...Tuct
Tucta wanahusika vipi na kupanga tarehe za kulipwa mishahara ya watu?
Hiyo sababu waliyoitoa mbona haina mantiki?
Something is fishing here.
Watu wanahangaika kutafuta namna ya kujinasua na gharama zisizohimilika za nishati ya mafuta, wanatembea na mitungi mizito ya gesi na kuteseka kupanga foleni ndefu mtu anakuja kirahisi rahisi tu kuweka tozo, au haya ndo madhara ya uchumi wa kusomea pale jalalani..