Kuanzia mwezi huu, June 2024 mishahara ya watumishi wa umma itakuwa inalipwa Kati ya tarehe 28 - 30

Kuanzia mwezi huu, June 2024 mishahara ya watumishi wa umma itakuwa inalipwa Kati ya tarehe 28 - 30

Kumbe watu wakilipwa wanaenda kuweka heshima bar afu zikiisha wanakuja kutupigia kelele sisi jobless kuwa maisha magumu
kwanza bar unaenda kumuwekea heshima nani? Si unaenda kumchangia mwenye bar au?

Kuna watu wapuuzi kweli dunia hii, who cares umenunua vinywaji vya shi ngp kama ukimaliza kulewa unaanza kuita boda? Mbaf na nusu kabisa hawa watu
 
Back
Top Bottom