Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameandika 1.5M sio 1.5BHumu jf Kila mtu ni tajiri analipwa mabilion!!! Ila tusidanganyane pesa hiyo sio mbaya watu wanasota hawapati hata laki tano
Text gani ya muamala inaandikwa 1.5M?1.5 hawez kua na akil kma hizo
Kumbe watu wakilipwa wanaenda kuweka heshima bar afu zikiisha wanakuja kutupigia kelele sisi jobless kuwa maisha magumuKumbe ndo maana bars jana zilikua tupu
kwanza bar unaenda kumuwekea heshima nani? Si unaenda kumchangia mwenye bar au?Kumbe watu wakilipwa wanaenda kuweka heshima bar afu zikiisha wanakuja kutupigia kelele sisi jobless kuwa maisha magumu
Sawa1.5 hawez kua na akil kma hizo
Yani unashindwa kujiongeza boss!? B itoke wapi!?Ameandika 1.5M sio 1.5B
Usipende kutumia neno KILA kwa vitu usivyokuwa na uhakika navyo
Tugawane
Mi si mtumishi wa umma mkuuTugawane
MtumishiMi si mtumishi wa umma mkuu
Wa dhambiMshahara gani tena jamani.
Mwanzoni nilijua mm ndo masikini tu Humu JF nilijua mm ndo nalipwa kiasi kidogo cha mshahara😁Humu jf Kila mtu ni tajiri analipwa mabilion!!! Ila tusidanganyane pesa hiyo sio mbaya watu wanasota hawapati hata laki tano
Kumbe manesi mna mishahara mikubwa hivyo!Ndugu mteja kasi cha 1.5M kimewekwa kwenye akaunti yako inayoishia ******4 kwa ajili ya malipo ya Mshahara wa mwezi wa sita- NMB Karibu yako
🌝🌝🌝🌝 shimo limetema tayari ngoja nakanywe kamnywesho Sasa nikaweke heshima bar hahahahahahahaha
Mlima ufuta