Mzee gani?Sasa ni rasmi yupo mtu kati
Hakina maagizo ataagiza yatatekelezwa
Hakuna mtu ataweza kumteka tena
Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi
Hakuna kitu atakipanga kisivuje
Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.
Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.
Tanganyika will be back and Tanzania will shine again.
Nimesoma nikaelewa..vitendwa mbali vilongwa mbali.
Ponjoro mwenzangu kuja hukuMama wa watoto watatu Abdul,Wanu na Makonda.
Anamaanisha JK,Kagame anamlia timing ile mbaya na yule jamaa huwa anatumia wakati kama huu kupita na adui wake,yaani kuasi kwamba akimdondosha anajua watanzania wengi watashangiliaMzee gani?
Kumdondosha nani?Anamaanisha JK,Kagame anamlia timing ile mbaya na yule jamaa huwa anatumia wakati kama huu kupita na adui wake,yaani kuasi kwamba akimdondosha anajua watanzania wengi watashangilia