GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa ni rasmi yupo mtu kati

Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa

Hakuna mtu ataweza kumteka tena

Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi

Hakuna kitu atakipanga kisivuje

Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.

Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.

Tanganyika will be back

And Tanzania will shine again.
Hakuna wa kumdondosha samia
 
Sasa ni rasmi yupo mtu kati

Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa

Hakuna mtu ataweza kumteka tena

Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi

Hakuna kitu atakipanga kisivuje

Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.

Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.

Tanganyika will be back

And Tanzania will shine again.
Saizi FUTA tuu Uzi maana ni aibu tupu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kitendo cha makamu kuzunguka kuungwa mkono na baadh ya watu wenye ushawish kimenipa mashaka sanaaa something big is coming
 
Back
Top Bottom