GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa ni rasmi yupo mtu kati

Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa

Hakuna mtu ataweza kumteka tena

Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi

Hakuna kitu atakipanga kisivuje

Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.

Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.

Tanganyika will be back

And Tanzania will shine again.
Utter nonsense
 
Issue ni kuhudumu kama waziri mkuu na baadaye kuwa waziri wa kawaida au mbunge tu. Hata kwa waliotangulia kwenye maswala haya ya demokrasia kama Uingereza imetokea mara nyingi.

Unamnyima vipi nafasi kama wapiga kura wake bado wanamhitaji!

Kahudumu miaka mingapi, hiyo si issue wala haijawekwa kikatiba kwamba baada ya muda fulani atapumzika.
Andamana mkuu!!
 
Back
Top Bottom