blackkodi
Senior Member
- Aug 20, 2024
- 171
- 254
Sana hadi tunatia huruma yaanHii inchi kuna matapeli wachache wamejimilikisha ila watanganyika sie mazoba sana.
Sana hadi tunatia huruma yaanHii inchi kuna matapeli wachache wamejimilikisha ila watanganyika sie mazoba sana.
Mheshimiwa SAMIA SULUHU HASSAN ni Rais wa Tanzania na ndie watanzania watamchagua aendelee. UKIKOSA WA KUKUHASHUA UKIJIHASHUA MWENYEWE SIO MBAYA. Endeleeni kujihashua.Sasa ni rasmi yupo mtu kati
Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa
Hakuna mtu ataweza kumteka tena
Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi
Hakuna kitu atakipanga kisivuje
Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.
Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.
Tanganyika will be back
And Tanzania will shine again.
Chagua mji mkuuKitendawili
Unaonekana huijui nchi yako vizuriSasa idara na wagombea ubunge wapi na wapi? Afu idara ndo inateua wagombea wa CCM?
Zamani enzi za Dr Slaa ulikuwaga fala sana.Kuna MTU alianzisha thread Jeshi lianze kujiandaa kushika nchi..
Sisi hatutamchagua sema atajitangaza kwa mabavu usitung’ang’anize tafadhali!Mheshimiwa SAMIA SULUHU HASSAN ni Rais wa Tanzania na ndie watanzania watamchagua aendelee. UKIKOSA WA KUKUHASHUA UKIJIHASHUA MWENYEWE SIO MBAYA. Endeleeni kujihashua.
Kama dada yenu aliyopo Kenya anafanya kwa ajiri ya matumbo ya Mabwanyenye...Siasa ni umafia tu.
Huko CCM hawaaminiani.
wahuni wengi wako huko CCM wenye madili haramu, mafidadi yote yamejificha humo.
kinachoumiza wale wazalendo CCM ndiyo hao hawana nguvu yoyote ila wapo tu kimaslahi watafanyaje sasa?
Temana na Mimi..Zamani enzi za Dr Slaa ulikuwaga fala sana.
Alisema akitoa amri hazitatekelezwa. Soma na kuelewaMkuu Leo tar 22/7/2025 mama bado anatoa amri..hii imekaaje?na ww ulisema mwisho tarehe 19/7/2025?
Wewe ni ignorant20/7/2025 alimwamuru katibu mkuu na msemaji wa serikali kuutangazia umma kuwa wanapewa go ahead kuandaa miss world 2027...
Pia order ya vikao vya cc ya ccm kupelekwa mbele ...nk
Ni furaha kubwa kwa watanganyika kumuondoa kupe wa kizanzibariHatimaye imetimia, kakimbia!
Master Erythrocyte Nani kakimbia?Hatimaye imetimia, kakimbia!
Sitasema, Namuogopa Muliro.Master Erythrocyte Nani kakimbia?
Japo kwa code laini,Sitasema, Namuogopa Muliro.
Kavuka bahariJapo kwa code laini,
Vipi huyo aliyekimbia kakimbilia wapi?
Kavuka bahari kwenda kwa Wadanganyika au kwa mjomba Jemshidi?Kavuka bahari
Na iwe hivyoHatimaye imetimia, kakimbia!
AmenNa iwe hivyo