GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hakuna mtu mshenzi nchi hii kama Kikwete.

Kukwama kwa Tanzania kimaendeleo na kushamili kwa rushwa na siasa za hovyo yule mzee anahusika kwa asilimia zaidi ya 100.

Alafu ana ulafi wa madaraka na pesa isivyo mfano. Hii ni yeye na familia yake akiongoza mke wake.
Punguza chuki kikwete alikua raisi poa sana.
 
Punguza chuki kikwete alikua raisi poa sana.
Wasiojua nchi hii ilianza kuharibika kipindi cha Kikwete, uwepo wa kundi la mtandao (Boyz 2 Men) , ufisadi wa kutisha serikalini, kutekwa kwa Ulimboka na mwanahabari Absalom Kibanda,kuuawa kwa Mwangosi, kuawa kwa watu watatu kwa bomu kwenye mkutano wa chadema kule Arusha na mengine mengi ni matokeo ya siasa za kikwete kulea mafia ndani ya nchi hii !
 
Nimekuja kumfahamu 2014 wakati wa bunge la Katiba, Kumbe alikuweko siku nyingi tyuh ndani ya system.
Lol
SSH ndio system yenyewe na wenzie 😁😁

Enzi hizo kina Slowslow walikuwa wananuka Maziwa ya mama zao 😂😂
 
Wasiojua nchi hii ilianza kuharibika kipindi cha Kikwete, uwepo wa kundi la mtandao (Boyz 2 Men) , ufisadi wa kutisha serikalini, kutekwa kwa Ulimboka na mwanahabari Absalom Kibanda,kuuawa kwa Mwangosi, kuawa kwa watu watatu kwa bomu kwenye mkutano wa chadema kule Arusha na mengine mengi ni matokeo ya siasa za kikwete kulea mafia ndani ya nchi hii !

The guy was Ignorrant in many ways. Kitu alichokua anaweza ni Mali kauli na maneno ya mdomoni.

Cha ajabu wanasema ni Ex Jw
 
Mafanikio Makubwa ya Rais Dkt Samia(Mungu amlinde)

1. Kiikolojia na afya ya umma

Alirejesha ufungaji madawati ya COVID-19 na Tanzania ikashirikiana na programu ya COVAX; chanjo ilianza Julai 2021, na data za maambukizi ziliripotiwa tena WHO .

Kupanua miundombinu ya afya—jumuishi ujenzi wa hospitali za rufaa, vituo vya afya na mitambo ya oksijeni: kutoka vituo 8,549 mwaka 2021 hadi 9,610 Machi 2024, kwa gharama ya Sh1.02T .


2. Elimu na Waalimu

Maelfu ya walimu na watumishi wa sekta malimbali walipandishwa vyeo (walimu 126,346) ili kuboresha huduma za elimu .

Mbinu ya utoaji elimu ilikubaliwa tena kwa watoto wajawazito na wanafunzi wenye watoto wachanga kurejea darasani.


3. Miundombinu na ajira

Harakati za ujenzi wa barabara, reli, bandari, viwanja vya ndege, madarasa, vituo vya afya, nyumba za watumishi na biashara, pamoja na kituo cha forodha Kasumulu, vimelipiwa .

Mradi wa reli ya Dar–Isaka wa Sh2.7B kutoka African Development Bank ulikamilishwa na kazi zilianza kupatikana .


4. Uwekezaji, biashara na ushirikiano wa kimataifa

Alihimiza mazungumzo ya biashara, akishirikiana na jumuiya ya Afrika (AfCFTA) na kuondoa vizuizi vya biashara, hasa na Kenya, pia kuanzisha makubaliano na EU .

Tanzania ilihudhuria COP26, Masoko ya Expo Dubai 2020, tukio la UNGA 2021, na Rais Samia alikuwa miongoni mwa wasomi 100 wa Time mwaka 2022 .


5. Demokrasia na utawala bora

Aliruhusu vyama vya upinzani kufanya mikutano na media zilizopigwa marufuku kurejeshwa .

Alionyesha ushawishi mpana kimataifa, ukiruhusu mazungumzo ya kidiplomasia kote Afrika, pamoja na ziara katika nchi mbalimbali za EAC, Marekani, Uingereza, Uarabuni, China, nk.

Tukisema anapigwa vita sababu ya dini yake na jinsia yake tunakosea? Mbona mna macho lakini hamuoni??
1.Amemwaga Damu za Watanzania kuliko RAIS yeyote
2.Ameuza bandari zetu kwa waarabu
3. Ana pendelea zanzibar kuliko Tanganyika
 
Back
Top Bottom