GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mnamuonea bure Mzee wa watu. Kikwete ni peace Sana. Uzuri wake ana kifua Hana mihemko. Watanzania hulka yetu ni umbea Tu na uvumi.
Hakuna mtu mshenzi nchi hii kama Kikwete.

Kukwama kwa Tanzania kimaendeleo na kushamili kwa rushwa na siasa za hovyo yule mzee anahusika kwa asilimia zaidi ya 100.

Alafu ana ulafi wa madaraka na pesa isivyo mfano. Hii ni yeye na familia yake akiongoza mke wake.
 
kama si mimi, kizazi changu kitajuta, rejea
 
Intelejensia ya kinafiki hii.

Mpaka mamlaka yakamilike DODOMA.
 
IMG_7874.jpeg

Hii trailer imekuwa ndefu sana mpaka inaanza kuchosha.

Yawezekana budget ya kumalizia cinema hakuna, imebaki mikwara tu
 
Sasa ni rasmi yupo mtu kati

Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa

Hakuna mtu ataweza kumteka tena

Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi

Hakuna kitu atakipanga kisivuje

Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.

Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.

Tanganyika will be back

And Tanzania will shine again.
😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom