Afu zote zipo ndani ya siku 30 toka wamekuwa memba 😂😂THreads kama hiz leo tu zimefika 10 waanzilishi tofaut
Villain kapewa ukubwa usio fikirika, sasa heroes wana jaribu ku break down taratibu.View attachment 3410313
Hii trailer imekuwa ndefu sana mpaka zinaisha.
Yawezekana budget ya kutengeneza cinema hakuna, imebaki mikwara tu
Mstaafu bossMzee gani?
Kustaafishwa mzee ni SAWA naSasa ni rasmi yupo mtu kati
Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa
Hakuna mtu ataweza kumteka tena
Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi
Hakuna kitu atakipanga kisivuje
Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.
Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.
Tanganyika will be back
And Tanzania will shine again.
Hawa new member ndo wahuni wenyewe tuwe makinNew members wamejaa aiseh!
Umeandika vingi vya kufikirika.Mafanikio Makubwa ya Rais Dkt Samia(Mungu amlinde)
1. Kiikolojia na afya ya umma
Alirejesha ufungaji madawati ya COVID-19 na Tanzania ikashirikiana na programu ya COVAX; chanjo ilianza Julai 2021, na data za maambukizi ziliripotiwa tena WHO .
Kupanua miundombinu ya afya—jumuishi ujenzi wa hospitali za rufaa, vituo vya afya na mitambo ya oksijeni: kutoka vituo 8,549 mwaka 2021 hadi 9,610 Machi 2024, kwa gharama ya Sh1.02T .
2. Elimu na Waalimu
Maelfu ya walimu na watumishi wa sekta malimbali walipandishwa vyeo (walimu 126,346) ili kuboresha huduma za elimu .
Mbinu ya utoaji elimu ilikubaliwa tena kwa watoto wajawazito na wanafunzi wenye watoto wachanga kurejea darasani.
3. Miundombinu na ajira
Harakati za ujenzi wa barabara, reli, bandari, viwanja vya ndege, madarasa, vituo vya afya, nyumba za watumishi na biashara, pamoja na kituo cha forodha Kasumulu, vimelipiwa .
Mradi wa reli ya Dar–Isaka wa Sh2.7B kutoka African Development Bank ulikamilishwa na kazi zilianza kupatikana .
4. Uwekezaji, biashara na ushirikiano wa kimataifa
Alihimiza mazungumzo ya biashara, akishirikiana na jumuiya ya Afrika (AfCFTA) na kuondoa vizuizi vya biashara, hasa na Kenya, pia kuanzisha makubaliano na EU .
Tanzania ilihudhuria COP26, Masoko ya Expo Dubai 2020, tukio la UNGA 2021, na Rais Samia alikuwa miongoni mwa wasomi 100 wa Time mwaka 2022 .
5. Demokrasia na utawala bora
Aliruhusu vyama vya upinzani kufanya mikutano na media zilizopigwa marufuku kurejeshwa .
Alionyesha ushawishi mpana kimataifa, ukiruhusu mazungumzo ya kidiplomasia kote Afrika, pamoja na ziara katika nchi mbalimbali za EAC, Marekani, Uingereza, Uarabuni, China, nk.
Tukisema anapigwa vita sababu ya dini yake na jinsia yake tunakosea? Mbona mna macho lakini hamuoni??
Waanzilishi walewale, wanabadili majina tuTHreads kama hiz leo tu zimefika 10 waanzilishi tofaut
Huu ndo ukweliAtakayeweza kumtuliza Kikwete atakuwa kaliokoa hili Taifa lisiangamie
Mzizi wa kukwama kwa Tanzania hii ya leo ni Kikwete.
NAUZA NYUMBA INA APARTMENT MBILI DARSasa ni rasmi yupo mtu kati
Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa
Hakuna mtu ataweza kumteka tena
Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi
Hakuna kitu atakipanga kisivuje
Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.
Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.
Tanganyika will be back
And Tanzania will shine again.
Dua la kukuSasa ni rasmi yupo mtu kati
Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa
Hakuna mtu ataweza kumteka tena
Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi
Hakuna kitu atakipanga kisivuje
Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.
Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.
Tanganyika will be back
And Tanzania will shine again.
Kwa hiyo Mkuu kesho nichane chane picha zile zinazochafua mji na mabango yale yaliyo mengi kuliko ya biashara. [emoji3][emoji3][emoji3] au unatuingiza chakani bado ana control
Wazushi campSasa ni rasmi yupo mtu kati
Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa
Hakuna mtu ataweza kumteka tena
Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi
Hakuna kitu atakipanga kisivuje
Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.
Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.
Tanganyika will be back
And Tanzania will shine again.
😀😀😀 kweli aisee saa sita tayar siku nyingine, ngoja nisuburie jibu la mtoa mada tusafishe nguzo tuweke matangazo ya sabuni za Komoa au controlSio kesho tayari ni tarehe 19
THreads kama hiz leo tu zimefika 10 waanzilishi tofaut