Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Kuna MTU alianzisha thread Jeshi lianze kujiandaa kushika nchi..
Aendelee kukohoa mpaka akoj.eAmepanda ndege ya abiria from dodoma to zenji akiwa anakohoa sana...
Tumsifu Yesu KristoKuna MTU alianzisha thread Jeshi lianze kujiandaa kushika nchi..
Kuna mtu amesema malaika mtoa roho mvaa makoti meupe teyari kashafanya yake, mdogo mdogo.Kila mtu anaongea fikra zake tu ambazo sio halisi
Kodi zilezile,isipokua kwa wenye viranga vya kuishi apartment,nyumba zetu kinondoni kodi zilezile za miaka 10+ iliyopita,na bei za vyumba lodge zilezile za miaka 10+ iliyopita,mavazi yameshuka bei mno,kilo ya unga inacheza mulemule,bei ya dawa mseto, panadol ileile,bei ya fungu la dagaa ileile,kuku ileileHata nyumba za kupanga bado ni zile zile ila kodi sio ile ile na gharama ya kujenga jengo lile lile sio zile zile. Jaribu kidogo kuficha ujinga wako.
Mafuta gani,alizeti au korie?Mafuta ya kula lita sh ngapi?
Dar saruji 18000,
Sikonge nipo kila baada ya miezi miwili, nina mashamba mole. Hiyo tumbaku nailima toka 2014, hivyo usitake kuniongopea chochote. Maisha ni magumu mno huko
Rais mtarajiwa Bumunda hilo!Dogo Una mikwara mbuzi wakati kichwani mweeeuuupeee
Yule jamaa jau sanaKuna mtu amesema malaika mtoa roho mvaa makoti meupe teyari kashafanya yake, mdogo mdogo.
Mwenyewe!Qmmmako
Ukiwa hapo Buziruga unajua ya Kizimkazi?Nawakumbusha TU Leo tarehe 20/7/2025 kesho 21/7/2025
Mama yupo mzima buheri wa afya na bado anatekeleza majukumu yake 100%
Buziruga ndo wapi mkuu?Ukiwa hapo Buziruga unajua ya Kizimkazi?
Kweli kuu hii VAR ya Pole pole sio ya mchezo mchezo hadi wameamua kusitisha kwanza uteuzi pia utekaji maana walimrudisha kwa muda mfupi sana dadaake na Polepole.Sasa ni rasmi yupo mtu kati
Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa
Hakuna mtu ataweza kumteka tena
Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi
Hakuna kitu atakipanga kisivuje
Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.
Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.
Tanganyika will be back
And Tanzania will shine again.
Buziruga ndo wapi mkuu?
Kipindi hicho ndo nilikuwa mwanza sasa hivi nipo kizimkazi...
ILikuwa tetesi naona moto wa pale mbele madhabahuni ukatetemesha kinywa chake akajikuta kautangazia umma ukweliAlijivua nguo, aliposema anamkaribisha boss wake.
Kwasababu hata dollar pia imeshuka thamani...Kwahiyo hakuna utetezi hapoBaada ya kupandisha msitari wa umasikini toka chini ya dola moja mpaka 2.5?!