gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Dola imeshuka thamani kivipi?Kwasababu hata dollar pia imeshuka thamani...Kwahiyo hakuna utetezi hapo
Dola imeshuka thamani kivipi?Kwasababu hata dollar pia imeshuka thamani...Kwahiyo hakuna utetezi hapo
Hayatokei mnayoyatamani?.. tulieni,mambo ya kisiasa huenda taratibuNini kinaendelea?
I calculate price index Yao ikoje benchmark huo mwakaDola imeshuka thamani kivipi?
What a day to celebrate. Safi sana.Update yupo kizimkazi kwa Sasa na serikali iko chini ya uangalizi mkali kutokea kijitonyama na lugalo
Asante kwa update..Update yupo kizimkazi kwa Sasa na serikali iko chini ya uangalizi mkali kutokea kijitonyama na lugalo
Unamuita kibenteni wako au sioDua za kuku hizo.
Lucas Mwashambwa uje huku wameshapaniki
Nadhani alimaanisha BuzurugaBuziruga ndo wapi mkuu?
Really?Update yupo kizimkazi kwa Sasa na serikali iko chini ya uangalizi mkali kutokea kijitonyama na lugalo
Kwani Kuna ajabu kwenda mapumziko nyumbani kizimkazi?...wapiga ramli mnachekesha sana!!What a day to celebrate. Safi sana.
Utajua mwenyeweKwani Kuna ajabu kwenda mapumziko nyumbani kizimkazi?...wapiga ramli mnachekesha sana!!
Kizimkazi kwa safari ya gafara na Bombardier Q-4000Kwani Kuna ajabu kwenda mapumziko nyumbani kizimkazi?...wapiga ramli mnachekesha sana!!
Apambane na Hali yakeUtajua mwenyewe
Afyekelewe mbali hatutaki urais wa vitu maalumuUpdate yupo kizimkazi kwa Sasa na serikali iko chini ya uangalizi mkali kutokea kijitonyama na lugalo
Mkuu una chuki sana..mama tunae mpaka 2030 inshallahAfyekelewe mbali hatutaki urais wa vitu maalumu
Thanks for update!Update yupo kizimkazi kwa Sasa na serikali iko chini ya uangalizi mkali kutokea kijitonyama na lugalo
Mnamaanisha kuna mapinduzi ya chinichini🤔Update yupo kizimkazi kwa Sasa na serikali iko chini ya uangalizi mkali kutokea kijitonyama na lugalo