IKEKERA
JF-Expert Member
- Sep 3, 2019
- 1,366
- 1,728
Sio kweli...kwa kibano wanachopata tayari wameanza kutoka kwenye mashimo mmoja mmoja..Ubaya wenu tayari mmeishameza ndoano, unaambiwa mlikuwa kwenye rada hata kabla Jiwe hajatoka mochwari....
Sio kweli...kwa kibano wanachopata tayari wameanza kutoka kwenye mashimo mmoja mmoja..Ubaya wenu tayari mmeishameza ndoano, unaambiwa mlikuwa kwenye rada hata kabla Jiwe hajatoka mochwari....
Dah,watu kama mnamuiga shekh yahaya, ''Leo nimemuona mwakilishi kwenye ibadaSasa ni rasmi yupo mtu kati
Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa
Hakuna mtu ataweza kumteka tena
Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi
Hakuna kitu atakipanga kisivuje
Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.
Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.
Tanganyika will be back
And Tanzania will shine again.
Sasa ni rasmi yupo mtu kati
Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa
Hakuna mtu ataweza kumteka tena
Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi
Hakuna kitu atakipanga kisivuje
Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.
Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.
Tanganyika will be back
And Tanzania will shine again.
System huwezi wasikia ,mtasikia wapiga keleleDuh. Kumbe yupo siku nyingi. Mbona tulkuwa hatumsikii .....!!?
Issue ni kuhudumu kama waziri mkuu na baadaye kuwa waziri wa kawaida au mbunge tu. Hata kwa waliotangulia kwenye maswala haya ya demokrasia kama Uingereza imetokea mara nyingi.Kwamba akina Msuya na uliowataja walihudumu kama PM kwa mihula 2 then wakarudi kuwa wabunge wa kawaida au comparison yako ina base wapi?
mkuu vp na yule mzee aliyegoma kustaafu ambae ulisema amestaafishwa rasmi usiku ule update yake nae vp..kwani anastaafishwa namna gani.?Update yupo kizimkazi kwa Sasa na serikali iko chini ya uangalizi mkali kutokea kijitonyama na lugalo
Kabla ya mechi, kila timu ina haki ya kusema saanaaaa na kudai kuwa wao ndio washindi. Baada ya mechi mshindi ni mmoja tu, naye anajulikana. Mama peta tu, si unaona wanazungumzia mafichoni.Sasa ni rasmi yupo mtu kati
Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa
Hakuna mtu ataweza kumteka tena
Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi
Hakuna kitu atakipanga kisivuje
Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.
Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.
Tanganyika will be back
And Tanzania will shine again.
Akijibu nitagmkuu vp na yule mzee aliyegoma kustaafu ambae ulisema amestaafishwa rasmi usiku ule update yake nae vp..kwani anastaafishwa namna gani.?
Sasa idara na wagombea ubunge wapi na wapi? Afu idara ndo inateua wagombea wa CCM?Update uteuzi wa wagombea ndani ya chama umesogezwa mbele mpaka tarehe 16 August idara inapitia kimya kimya kila file la mgombea Ubunge na udiwani wakati huo wakiwa na majina 3 ya Rais ajaye mfukoni
Yajayo yatalitilisa taifa
Mkuu Leo tar 22/7/2025 mama bado anatoa amri..hii imekaaje?na ww ulisema mwisho tarehe 19/7/2025?Update uteuzi wa wagombea ndani ya chama umesogezwa mbele mpaka tarehe 16 August idara inapitia kimya kimya kila file la mgombea Ubunge na udiwani wakati huo wakiwa na majina 3 ya Rais ajaye mfukoni
Yajayo yatalitilisa taifa
Ametoa amri gani wewe kiande?Mkuu Leo tar 22/7/2025 mama bado anatoa amri..hii imekaaje?na ww ulisema mwisho tarehe 19/7/2025?
Usiwe unaamini kila kitu humu mkuu.sometimes mnaondolewa kwenye hoja za msingi muwaongelee wao.Shtuka!Mkuu Leo tar 22/7/2025 mama bado anatoa amri..hii imekaaje?na ww ulisema mwisho tarehe 19/7/2025?
Huna UWEZO wa kuchanganua mambo, usisumbue watu.Mkuu Leo tar 22/7/2025 mama bado anatoa amri..hii imekaaje?na ww ulisema mwisho tarehe 19/7/2025?