GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Lakini bila unafiki,huyu bwana angechaguliwa kuwa mbunge wa ruangwa na asipewe uwaziri mkuu ni aibu gani angejiingiza?
Hakuna aibu, wala asingekuwa wa kwanza. Imetokea kwa Kawawa, Msuya, Warioba, Malecela.

Nothing new.
 
Naona bado ramli hazijasoma....

1753031072941.png
 
Na yeye yumo ...hapa wameungana wengi kidogo kipara,,,mapico,,lakini trust me hawatashinda
Ubaya wenu tayari mmeishameza ndoano, unaambiwa mlikuwa kwenye rada hata kabla Jiwe hajatoka mochwari....
 
Hakuna aibu, wala asingekuwa wa kwanza. Imetokea kwa Kawawa, Msuya, Warioba, Malecela.

Nothing new.
Kwamba akina Msuya na uliowataja walihudumu kama PM kwa mihula 2 then wakarudi kuwa wabunge wa kawaida au comparison yako ina base wapi?
 
Back
Top Bottom