GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Lete utafiti kwamba umaskini umeongezeka kwa watanzania!!
2012 ilikua 26% tu ya watanzania ndio maskini.
Sasa hivi ni 42%
 
Ushauri wa maana kwa bimkubwa awaachie tu kiti akapumzike hii mikikimikiki yote ya nini??? Ameshakaa miaka 4 ameshaweka historia basi. A good dancer should know the time to the stage.

Kama ningekuwa mimi ndo bimkubwa nawachonganisha huku nikiacha alama kudadeki.

Kwa mfano....
Mimi sasa ndo bimkubwa:..Katiba ya Mzee Warioba ipo wapi,..? nataka ile original.
Wao sasa:..Hii hapa mama!.
Mimi:.okk, hii sindo waliyoipitisha wananchi wakataka iwe hivi???
Wao: ehhh
Mimi: Kesho toa taarifa nataka kuongea na Taifa.
Wao: Kwani kuna nini mama!!
Mimi: Nimesema toa taarifa...
Kesho sasa mwanawane natokea kama Shwaznigaa kudadeki ndandandaa ndaaaa.
Picha linaanza nimeshika katiba ya warioba mkononi. Natangaza: ...Kwa ajili ya kuleta mshikamano na kuponya Taifa lisipasuke namfungulia Lissu, pili; kwakuwa muda ni mfupi uliobaki kwenda katika uchaguzi naipitisha katiba ya warioba iliyopitishwa na wananchi ili tuitumie katika uchaguzi huo, tatu natangaza kutogombea uchaguzi huu napisha nafasi Chama kiteue mtu mwingine.
Nafunga press nasepa. Najua wao Watatoa mlio saaaana, lakini kwa wananchi bonge la shangwe.
Hii inaitwa mwaga ugali nimwage mboga.
Wishful thinking. Unafikiri hata ukiwa Rais unaamuaamua tu!!?
 
Manufaa ya watu wachache...
Mtoto kapewa uwaziri mnategemea Nini..sisi tumebaki kusifu na kuabudu tu mitandaoni..
 
Hakuna mtu mshenzi nchi hii kama Kikwete.

Kukwama kwa Tanzania kimaendeleo na kushamili kwa rushwa na siasa za hovyo yule mzee anahusika kwa asilimia zaidi ya 100.

Alafu ana ulafi wa madaraka na pesa isivyo mfano. Hii ni yeye na familia yake akiongoza mke wake.
Bandari ni yao yeye na Mama sio ya wale jamaa.
 
Sasa ni rasmi yupo mtu kati

Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa

Hakuna mtu ataweza kumteka tena

Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi

Hakuna kitu atakipanga kisivuje

Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.

Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.

Tanganyika will be back

And Tanzania will shine again.
Yaani ukiona kwenye mitandao utafikiri Tanzania ni zaidi ya Gaza
 
Mbona kama tunamchukia Mzee wa watu bila sababu....utawala wake ulikua fair sana......sidhani kama anaweza kuwa anashauri haya mautekaji yanayoendelea.....wa kumlaumu labda ni mwendazake kwa kutokufanya voting ya kutosha kutuchagulia makamu....ndo kilichotufikisha hapa
Daktari Ulimboka baada ya kutekwa na alivyopatikana Hana meno mdomoni Wala pumbu na kukimbizwa South Afrika 2012 yuko wapi sasa?

Dk. Ulimboka alitekwa usiku wa 26 Juni 2012, kusukumizwa kwenye gari, kupigwa, kufungwa mikono na miguu, kunyofolewa kucha na kutolewa meno; na hatimaye kutupwa katika msitu wa Mabwepande.
Rama alifanya mawasiliano ya mwisho na Dk. Ulimboka saa 5: 52 kupitia simu yake Na. 0713 760473. Dokta alitekwa muda mfupi baadaye.
 
Yaani ukiona kwenye mitandao utafikiri Tanzania ni zaidi ya Gaza
Watu wengi mtaani wanataka Reforms japo hawazungumzii kwahiyo tulioko mtaani ndo sisi tuko huku ila mtaani tunaendelea na mishe zingine full ubize
 
Daktari Ulimboka baada ya kutekwa na alivyopatikana Hana meno mdomoni Wala pumbu na kukimbizwa South Afrika 2012 yuko wapi sasa?

Dk. Ulimboka alitekwa usiku wa 26 Juni 2012, kusukumizwa kwenye gari, kupigwa, kufungwa mikono na miguu, kunyofolewa kucha na kutolewa meno; na hatimaye kutupwa katika msitu wa Mabwepande.
Rama alifanya mawasiliano ya mwisho na Dk. Ulimboka saa 5: 52 kupitia simu yake Na. 0713 760473. Dokta alitekwa muda mfupi baadaye.
Waulize watu waliopoteza ndugu muhimbili baada ya mgomo wa madaktari,waliomteka wangeweza wangemrejesha kwa mola wake
 
Baada ya kupandisha msitari wa umasikini toka chini ya dola moja mpaka 2.5?!
Lazima mstari upande sababu thamani ya pesa haijabaki palepale

Hiyo 2012 nikiwa na 800 niliweza kula wale pale mabibo hostel, Ila sasa hivi bila 2000 hujala wali.

Nauli ilikua 250, sasa hivi nauli 600. So lazima mstari upande sababu pesa imeshuka thamani
 
Back
Top Bottom