Eagle Trader
JF-Expert Member
- Jun 26, 2025
- 635
- 734
Nenda huko Canada akufanye bi mdg maana unawashwawashwaLema amewapoteza sana, yupo Cadana anakula tonetone lakini ameacha urithi mbaya sana wa watabiri tambitambi.
Nenda huko Canada akufanye bi mdg maana unawashwawashwaLema amewapoteza sana, yupo Cadana anakula tonetone lakini ameacha urithi mbaya sana wa watabiri tambitambi.
Mimi mleta kuni moto uwake zaidiHizi ndo ramri chonganishi.
Leo au wiki hii?Kikwete anasitafishwa leo hii, Mungu mkubwa kweli.
Wiki inaisha Leo, Kesho ni siku ya kwanza ya Juma (JUMAPILI- LUKA 24:1)Leo au wiki hii?
Leo saa ngapi sasa?Wiki inaisha Leo, Kesho ni siku ya kwanza ya Juma (JUMAPILI- LUKA 24:1)
We kusoma hujui hata picha hauioniMbona kama tunamchukia Mzee wa watu bila sababu....utawala wake ulikua fair sana......sidhani kama anaweza kuwa anashauri haya mautekaji yanayoendelea.....wa kumlaumu labda ni mwendazake kwa kutokufanya voting ya kutosha kutuchagulia makamu....ndo kilichotufikisha hapa
Sawa ni mweupe ila usi-nitag kwenye nyuzi zisizo kuwa na kichwa wala miguuDogo Una mikwara mbuzi wakati kichwani mweeeuuupeee
Taja idadi ya uliowaskia wakiuawa kipindi cha jiwe na wa kipindi cha deaf frog. Hakuna uhuru wwte ni kutekana tu na kufunga makanisaHakuna aliyekamilika kwa kila kitu, Jiwe tulimsema Kwa mabaya mengi ambayo alioingia mama kayafanyia kazi na Sasa tunapata nguvu ya kukosoa ingawa ukionwa wanapita nawe ila at least tunaishi Kwa amani, lakini bado hatumtaki. JE, tunataka ashuke malaika aje kutuongoza?
Ila wasijeamua tu watu kulala saa 12 kama kukuNimepata habari kuwa sasa wazalendo wa nchi wamemuweka kona yaani achiteme wala kumung'unya, wako nae. Joto ni kali sana jikoni.
Much love 👌Sasa ni rasmi yupo mtu kati
Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa
Hakuna mtu ataweza kumteka tena
Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi
Hakuna kitu atakipanga kisivuje
Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.
Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.
Tanganyika will be back
And Tanzania will shine again.
Yatamkuta kama ya Mbowe,,,atalia kilio Cha kusaga menoUshauri wa maana bimkubwa awaachie kiti akapumzike hii mikikimikiki yote ya nini ? Ameshakaa miaka 4 ameshaweka historia basi. A good dancer should know the time to the stage.
Lolote linaweza tokea, itategemea na hali itakavyokwenda, NIA yao ni Njema ila kwa sasa wenye kisiwa wameamua ni swala la kusubiri..Ila wasijeamua tu watu kulala saa 12 kama kuku
Kila mtu anaongea fikra zake tu ambazo sio halisiWapiga soga tu watendaji hawaji humu.
Kila mtu anaongea fikra zake tu ambazo sio ha