GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa ni rasmi yupo mtu kati

Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa

Hakuna mtu ataweza kumteka tena

Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi

Hakuna kitu atakipanga kisivuje

Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.

Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.

Tanganyika will be back

And Tanzania will shine again.
Kikwete anasitafishwa leo hii, Mungu mkubwa kweli.
 
Moja zito alilogusia ktk hoja zake za press ya 2 ni kuvihusisha vyombo "KIAINA* sa sijui kama vyombo vyenyewe vitakuwa tayari kwa kazi maalumu?


Kwa mada hapo, you need to go back, mbona kuna watu wametabiri mapema humu, mama sio fala kajipanga

Mara tu alipoteua hao watu,

Mkuu ignore me, kwetu kumekucha.

Que sera sera 👋
 
Wanasema atakamatwa na kulazimishwa asijihusishe na siasa za ndani kwani hatufai maana wakati wa utawala wake alishindwa kuiongoza hii nchi.
Ni hawa
bakabaka
Twish
Au old guards from unknown location watakao fanya hio kazi?

Ni akina nani wana huo ujasiri
 
Sasa ni rasmi yupo mtu kati

Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa

Hakuna mtu ataweza kumteka tena

Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi

Hakuna kitu atakipanga kisivuje

Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.

Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.

Tanganyika will be back

And Tanzania will shine again.
Duuh we unaumwa nenda katibiwe haraka utakufa siku si zako, si kwa upupu km huu tena bila haya.
 
Naomba tuheshimiane usinihusishe kwenye nyuzi za upiga ramli mimi sio mpiga ramli ndo maana hutakaa unione hata nime-comment hii nimereply sababu tu umenitag

Sijaja jamiiforums kudiscuss matukio na drama hizo sio level zangu sijaja jamiiforums kudiscuss matukio bali kutoa sulihisho kwenye matatizo ya wananchi
Kwa iyo na wewe unajiona ni mtu mhimu sana hapa jf, wewe utakua na vina saba vya Bk
 
Sasa ni rasmi yupo mtu kati

Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa

Hakuna mtu ataweza kumteka tena

Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi

Hakuna kitu atakipanga kisivuje

Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.

Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.

Tanganyika will be back

And Tanzania will shine again.
Ungekuja kwa ID yako ya siku zote.
 
Siasa ni umafia tu.
Huko CCM hawaaminiani.
wahuni wengi wako huko CCM wenye madili haramu, mafidadi yote yamejificha humo.

kinachoumiza wale wazalendo CCM ndiyo hao hawana nguvu yoyote ila wapo tu kimaslahi watafanyaje sasa?
Kuna wakati Jakaya Kikwete aliwahi kusema, ndani ya Ccm huwezi kuacha glass ya maji ukaenda nje mara moja halafu ukaikuta ikiwa salama. Maana yake wahuni wapo tangu miaka mingi.

Mangula walishawahi kumpa Sumu halafu issue yake ikaisha kienyeji kienyeji tu.
 
Sasa ni rasmi yupo mtu kati

Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa

Hakuna mtu ataweza kumteka tena

Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi

Hakuna kitu atakipanga kisivuje

Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.

Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.

Tanganyika will be back

And Tanzania will shine again.
Sisi wasouth wa Tz tunacomments wapi maana kwetu kuna jimbo kuu katoliki na tumepata mgombea mwenza kutoka jimbo letu; je nasisi ni wafia dini lialia au wafia maslahi ya nchi hii?
 
Dully ni kijana wa ovyo sana, bimkubwa hakutaka kabisa kuingiza timu lakini yeye ndiye kamlazimisha ili kulinda dili lao la DPW kwa hofu kuwa akija mwingine atalibumburua matokeo ndiyo haya homa za hapa na pale haziishi.
 
1752901204662.jpeg
 
You place yourself on the pedestal, higher than anyone else to the extent that you can touch the clouds; and yet you want to rule the lowly, beneath your feet! Why?
Kweli nianze kupoteza mda kudiscuss ramli- kwanini tusitumie nguvu kubwa kuangalia tunatatuaje changamoto zinazoonekana na zinazomkabili mwananchi

kwanini kama nchi tunapenda sana habari za kufikirika, ramli na gossip while we ignore real problems which we face Daily on our life
 
Back
Top Bottom