Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Naomba tuheshimiane usinihusishe kwenye nyuzi za upiga ramli mimi sio mpiga ramli ndo maana hutakaa unione hata nime-comment hii nimereply sababu tu umenitagNa anayezileta ni mwamba Rais mtarajiwa Dennis Robert Shughuru Na ID zake zingine
Sijaja jamiiforums kudiscuss matukio ya kufikirika na drama hizo sio level zangu sijaja jamiiforums kudiscuss matukio ya kufikirika bali kutoa sulihisho kwenye matatizo ya wananchi wa Tanzania