GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa ni rasmi yupo mtu kati

Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa

Hakuna mtu ataweza kumteka tena

Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi

Hakuna kitu atakipanga kisivuje

Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.

Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.

Tanganyika will be back

And Tanzania will shine again.
God lead the way to fulfil these wishes.
 
Sasa ni rasmi yupo mtu kati

Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa

Hakuna mtu ataweza kumteka tena

Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi

Hakuna kitu atakipanga kisivuje

Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.

Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.

Tanganyika will be back

And Tanzania will shine again.
Swadakta haya ndo mambo tuyatakayo, nchi isiwe mikononi mwa mtu bali mikonon mwa taasisi nyeti za nchi. Kwa kufanya hvyo tutakuwa salama zaidi
 
Sasa ni rasmi yupo mtu kati

Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa

Hakuna mtu ataweza kumteka tena

Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi

Hakuna kitu atakipanga kisivuje

Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.

Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.

Tanganyika will be back

And Tanzania will shine again.
Amka utajikojolea kijana
 
Naomba tuheshimiane usinihusishe kwenye nyuzi za upiga ramli mimi sio mpiga ramli ndo maana hutakaa unione hata nime-comment hii nimereply sababu tu umenitag

Sijaja jamiiforums kudiscuss matukio na drama hizo sio level zangu sijaja jamiiforums kudiscuss matukio bali kutoa sulihisho kwenye matatizo ya wananchi
Dogo Una mikwara mbuzi wakati kichwani mweeeuuupeee
 
Sasa ni rasmi yupo mtu kati

Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa

Hakuna mtu ataweza kumteka tena

Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi

Hakuna kitu atakipanga kisivuje

Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.

Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.

Tanganyika will be back

And Tanzania will shine again.
Lema amewapoteza sana, yupo Cadana anakula tonetone lakini ameacha urithi mbaya sana wa watabiri tambitambi.
 
NA IWE HIVYO INAVYOTABIRIWA,UPEPO UNAPEPEA NA MATAKO YA KUKU YA DHAHIRI.
 
Mkuu mtoa mada updates tafadhali! Ile kazi ya kusafisha miji inaningoja ujue
 
Back
Top Bottom